Wasomali wana nia ya kuinyakua Kenya kwa kuzaliana?

Kwann wasibust kwao kuwa na vigorofa kadhaa ndo kubust uchumi

Ebu ongea kwa takwimu bana
Bro baada ya kuanguka serikali ya somalia wakubwa wote na wenye pesa zao walihamishia kenya. Kwa mtu aliyefika Nairobi miaka 1996 na leo anaweza kukuambia hasa mtaa ule wa Eastland ulivyokuwa na sasa. Msomali kwa namba kwa sasa ndie anamfuata mkikuyu kwa biashara kenya. Nenda popote kenya hukosi biashara ya Msomali.
 
unaweza kua sahihi
 
ohooo
 
hao wasomali ni wakenya,na wana mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya kenya,lakini kwamba watainyakua kenya kwa idadi sio rahisi
 
hao wasomali ni wakenya,na wana mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya kenya,lakini kwamba watainyakua kenya kwa idadi sio rahisi
Vijana wanalalamika wasomali wanakuja hata kiswahili hawajui afu wakinunua gar au boda wanawachoma visu na kuwakata mapanga
 
Huyu ni mtz kwa kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…