Sorry love, nilikua busy kidogo. ila sasa nimepata muda, ngoja nisome kwanza nielewe kinacho jadiliwa hapa.@mjasiria Ina maana hata Kina AshaDii na RussianRoulette wame - boycot?
Siwataki kabisa ME kwenye huu uzi, wataharibu miiko ya wahenga wa unyago.
RussianRoulette karibu sana kwenye unyago, nimeambiwa kwamba na wewe ni ANAHAKU, hapa nataka niwafunde wanawali vilivyo.Sorry love, nilikua busy kidogo. ila sasa nimepata muda, ngoja nisome kwanza nielewe kinacho jadiliwa hapa.
Hahahahaaa Zinduna wape somo aisee ili tuenjoy malovedavi...RussianRoulette karibu sana kwenye unyago, nimeambiwa kwamba na wewe ni ANAHAKU, hapa nataka niwafunde wanawali vilivyo.
wanaume wote OUT, kesho wataruhusiwa wanaume wapiga ngoma tu ambao ni The Boss , Eiyer , ndyoko , na The Finest , Bishanga na Erickb52 MAROFOUK kuonekana hapa.
Hua wanafundisha siri gani huko unyagoni?
B' nakutafuta ujue?? lol.... Nipo dear, nijipe ban wapi tena.... Toka lini naitwa Mother Theresa? You know she is considered as a saint si wajua hilo? Good to see you....
hivi kuna dikshenari ya kimakonde kwenda kiswahl?
RussianRoulette kuna mwehu kachafua hali a hewa jukwaa la siasa, hebu harakisha ukaondoe hayo matusi yaliyopachikwa hapo.Sorry love, nilikua busy kidogo. ila sasa nimepata muda, ngoja nisome kwanza nielewe kinacho jadiliwa hapa.
RussianRoulette kuna mwehu kachafua hali a hewa jukwaa la siasa, hebu harakisha ukaondoe hayo matusi yaliyopachikwa hapo.
Zinduna huu uzi mgumu kuchangia maana una vocabulary nyingi sana.Mbona wanawake hawachangii huu uzi jamani,
Nitawaambia MODS wauondoe kama hamtaki kuchangia.....EBO! Cantalisia , Preta , King'asti , Kipipi Asnam TaiJike MwanajamiiOne , na wengineo mko wapiiii!
Hao wote uliowaorodhesha ni ANAHAKU. Lizzy peke yake ndio kifaa.
Na kuhusu mkwara wako hapa umenoa, majipu tayari ninayo, tena makubwa ya haja. Ukitaka naweza kukuruhusu uone yanavyoning'inia chini ya filimbi shaka hayana