Wasome Wanawake tu: Siri za unyago wa Kimakonde!

Wasome Wanawake tu: Siri za unyago wa Kimakonde!

Last edited by a moderator:
RussianRoulette karibu sana kwenye unyago, nimeambiwa kwamba na wewe ni ANAHAKU, hapa nataka niwafunde wanawali vilivyo.

wanaume wote OUT, kesho wataruhusiwa wanaume wapiga ngoma tu ambao ni The Boss , Eiyer , ndyoko , na The Finest , Bishanga na Erickb52 MAROFOUK kuonekana hapa.
Hahahahaaa Zinduna wape somo aisee ili tuenjoy malovedavi...
Ngoja nihamie zangu Utambulisho nkawapokee wageni coz sijaenda kule siku nyingi sana na Ulimakafu ameshachoka....
Kikao chema wadadaaa
 
Last edited by a moderator:
hivi kuna dikshenari ya kimakonde kwenda kiswahl?
 
hivi kuna dikshenari ya kimakonde kwenda kiswahl?
 
Sorry love, nilikua busy kidogo. ila sasa nimepata muda, ngoja nisome kwanza nielewe kinacho jadiliwa hapa.
RussianRoulette kuna mwehu kachafua hali a hewa jukwaa la siasa, hebu harakisha ukaondoe hayo matusi yaliyopachikwa hapo.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Ila Zinduna hiyo style unayotumia katika kutumia laptop kuna somo imenipa.
 
Last edited by a moderator:
Siri za UNYAGO wa Kimakonde sehemu ya mwisho is coming soon~~~~ Stay tune, nitaiweka hivi punde.
 
Hao wote uliowaorodhesha ni ANAHAKU. Lizzy peke yake ndio kifaa.

Na kuhusu mkwara wako hapa umenoa, majipu tayari ninayo, tena makubwa ya haja. Ukitaka naweza kukuruhusu uone yanavyoning'inia chini ya filimbi shaka hayana

yani sasa hivi zinduna kasema wakiwa wengi wanaitwa wanamahaku, na mara hii umeshasahau, mwangalie kwanza mwana mtoka pabaya we.
 
Sehemu ya pili imeendelezwa kwenye hii hii thread.
 
Duh!!!! Na uzee huu nilikuwa siyajui haya...........

Asante mwaya kunijulisha mambo ya kusini kwa watani zangu
 
Bado nasisistiza, wanaume wasitie neno humu, kitakachowapata wasije wakanilaumu!
 
Back
Top Bottom