We ndo unaliwa ...hutaki kujiongeza unasubir kila kitu kije chenyewe ukiendelea hvo lazima wahuni wapite na wwUna matatizo ya akili kichwani K wewe, kwahiyo mimi nisomeshe mtoto mpaka Degree tena ya Udaktari then aje auze uji afu useme amejiongeza? We jamaa sio papai kweli? Hauliwi wewe?waste of time at a maximum level.
Lengo la ile elimu ni nini? Unapotoa hoja utumie akili kwa ushaihi Chko wewe.
Eleza hapa Injinia ajiongeze vipi? Auze pipi? We jamaa hautoumbwi lakini?We ndo unaliwa ...hutaki kujiongeza unasubir kila kitu kije chenyewe ukiendelea hvo lazima wahuni wapite na ww
We inaonekana unawashwa , Unahitaji kukunwa naona unatapa tapa sana , tafuta basha hapo ulipoEleza hapa Injinia ajiongeze vipi? Auze pipi? We jamaa hautoumbwi lakini?
Hizi akili mnazitolea wapi? Kwahiyo msingi wa elimu hiyo utainufaishaje nchi? Kwann sasa wote wasisomee ujasiriamali?
We ni papai, Unaliwa wallah tena.
Mkuu hujanielewa Ila acha niache kukuelezea sana maana unajua masikini ndio hujieleza sana ili aonewe huruma yaan hata barua ya kazi au CV masikini alitakiwa kujaza mistari miwili au mitatu au Nusu paragraph atajaza paragraph 3/4 kumkomesha msomajiView attachment 2584059
Tuanze na hiyo hapo niliyo attach.
Mimi nitaandika kwenda kwa CENTRE MANAGER, wewe utaandika kwenda kwa HR?
Baada ya hapo ndiyo utajua kwamba wewe ni fuvu la aina gani 😁 😁 😁 😁
Mkuu hujanielewa Ila acha niache kukuelezea sana maana unajua masikini ndio hujieleza sana ili aonewe huruma yaan hata barua ya kazi au CV masikini alitakiwa kujaza mistari miwili au mitatu au Nusu paragraph atajaza paragraph 3/4 kumkomesha msomaji
Masikini Haelewi
Acha ujuaji wa kijinga...We ni mjinga mno, Nenda Tiktok ukacheze na watoto wenzio ..Huku hupawezi
Dah we jamaa uko sahihi mnoo afu kichwani uko smartWadasa la saba tunakula bata Sana nchi hii. Tunao wale masela na wenetu waliendaga machuo kipindi io sisi tupo kitaa tunapigwa na jua tunavuja jasho na bado pesa ni nyekundu tu. Saiv wako zao ndani wanajificha baada waje watulize raia tunatoboaje.
Elimu etu ya kibongo inamfundisha mtu kuwa mubinafsi maana kwenye pepa huruhusiwi kumuiga au kumuomba mwenzio majibu.
Uku mtaa ni ramani na connection tu
Tena na spika la singeli...Wasomi tumefokewa
Masikini HaelewiUnazidi kujichanganya tu,bora uchutame ..ni busara zaidi ya unavyojichoresha tu.
Yaani hata hujui kinachotakiwa kuandikwa kwenye barua ya kazi na CV, then utajua tofauti ya HR na Managing Director kweli?!
Mara maskini haelewi (too irrelevant).
Wewe ndio aina ile ile ya watu uliowatolea mfano (kina dada) wanaoliwa na ma HR wakidhani ni watu wakuuubwa kumbe ni ma secretary waliochangamka.
Anyways, usikwepe swali..kwenye hiyo attachment, utamwandikia Manager au HR?
Hio ndio maana halisi ya Maisha Kizabengo,
Sometimes inabidi uwe na thamani km karamu ya bank mda wote umepigwa kamba,Neno fursa limetamalaki humu..
View attachment 2584610
Aah wapi...uchoyo uchoyo tu. Mbongo akupe connection anaumwa?? Hadi mmejitungia msemo 'ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa'Wadasa la saba tunakula bata Sana nchi hii. Tunao wale masela na wenetu waliendaga machuo kipindi io sisi tupo kitaa tunapigwa na jua tunavuja jasho na bado pesa ni nyekundu tu. Saiv wako zao ndani wanajificha baada waje watulize raia tunatoboaje.
Elimu etu ya kibongo inamfundisha mtu kuwa mubinafsi maana kwenye pepa huruhusiwi kumuiga au kumuomba mwenzio majibu.
Uku mtaa ni ramani na connection tu
Hapana sio kweli kuna mwamba tulikua hatujua kwa lolote nilimcheck DM akaniunga na issue moja kimasihara tu nilipiga hela NDEFU, na jamàa hakuniomba hata 100Aah wapi...uchoyo uchoyo tu. Mbongo akupe connection anaumwa?? Hadi mmejitungia msemo 'ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa'
To every general rule there's an exceptionHapana sio kweli kuna mwamba tulikua hatujua kwa lolote nilimcheck DM akaniunga na issue moja kimasihara tu nilipiga hela NDEFU, na jamàa hakuniomba hata 100
Hio ni sheria inasema hilo nalitambua na naelewa kuhusu Quid-Pro-Quo Ila kila unapoamua kufanya kitu fanya km wewe na ufanye kwa nia thabiti bila kua na manung'uniko ya Ndani,To every general rule there's an exception