Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Ulitegemea wewe na nani?tulitegema taaluma zenu ziwasaidie hata kuanzisha miradi midogo midogo sio lazima muanzie juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitegemea wewe na nani?tulitegema taaluma zenu ziwasaidie hata kuanzisha miradi midogo midogo sio lazima muanzie juu
Lengo la huu uzi sio kuja kukuelewesha ww na upeo wako mdogoWewe ndio una wadudu kazi ya kubeba zege ni unskilled labour haihitaji ujuzi wowote,MTU haiwezi kutumia muda na resources kisha abebe zege.
Bora ungeniambia wasomi wajikisanye waishinikize Serikali kubali Sera za kiuchumi ninhekuelewa.
Kama kulaumu ndo mnachoweza basi endeleeni kulaumu.Mnashindwa kuweka mazingira ya kukuza uchumi na ukuaji wa sekta binafsi mnaishia kufanya ufisadi, halafu leo unakuja na kejeli kwa vijana wa kitanzania walioelemika na kukosa ajira ambao wamekuwa wahanga wa wizi wenu wa kulamba asali na kujipimia kwa urefu wa kamba na kuvimbewa matumbo utadhani mmebeba maputo, shwain!!
Usimchukulie MTU mmoja angalia watu katika wingi wao,kila mwaka wanahitimu waku Katibu laki 1.unataka wote waanze umachinga.Nafkir hujamuelewa, hapo katoa mfano tuu, lakini kila mtu anaweza kuanza kidogo kidogo kulingana na taaluma yake, yani asisubiri mpaka apate ajira ,
Lakini pia Duniani kote hakuna nchi iliyoweza kuajiri wananchi wake wote.Usimchukulie MTU mmoja angalia watu katika wingi wao,kila mwaka wanahitimu waku Katibu laki 1.unataka wote waanze umachinga.
Ajira zinatengenezwa na Serikali,Duniani kote ipo hivyo
Mbona kama unalalamika tu,hujawaonyesha fursa yoyoteWengi wanaishi kwa mashemeji zao huku mjini, wengine wanafikia hatua ya kufanya mambo ya hovyo kama dada zetu wengi hukimbilia kwenye ukahaba
Chuki zako na hao unaosema wasomi hazitakusadia chochote.Mkipunguza kutupiga mizinga na kutia huruma ndo ntanyamaza
Lakini siwezi kuona tunaenda kuwa na taifa la hovyo kutokana na ufinyu wa mawazo ya tunao waita wasomi afu nkae kimya hilo halipo
We ni mjinga mno, Nenda Tiktok ukacheze na watoto wenzio ..Huku hupaweziChuki zako na hao unaosema wasomi hazitakusadia chochote.
Hasira zako za kukosa fursa za kusoma usituletee hapa, walaumu wazazi wako au ilo bichwa lako kwa kushindwa kuelewa vitu ulivyokuwa unafundishwa darasani.
Hayo uliyoongea ni marudio, maneno matupu,Nimewapa njia za kufikia fursa zilipo so ni jukumu lao kufuata hizo njia coz fursa zinatofautiana kulingana na mazingira
Ni yale yale,kila mtu anawaambia wajiajiri tu,Kwako ni maneno matupu coz umezoea kulishwa kila kitu , huwezi kujitafutia huna tofauti na Broiler
Alikusomesha[emoji1787][emoji1787]Ulitegemea wewe na nani?
Una matatizo ya akili kichwani K wewe, kwahiyo mimi nisomeshe mtoto mpaka Degree tena ya Udaktari then aje auze uji afu useme amejiongeza? We jamaa sio papai kweli? Hauliwi wewe?waste of time at a maximum level.Kama ndo ulivyoelewa hivyo basi una wadudu kichwani