Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Nani kakwambia kua ni lazima mwanasheria alime mbogamboga au mhasibu afuge kuku

Hapa tunazungumzia afanye lililo ndani ya uwezo wake
Kufanya lililo ndani ya uwezo wake ni matokeo ya system kufeli sio sifa, mtu akisoma maana yake afanye kazi field aliyosomea

Kufeli kwa serikali na ukosefu wa mitaji ndio sababu ya wasomi kuwa desperate
 
Kufanya lililo ndani ya uwezo wake ni matokeo ya system kufeli sio sifa, mtu akisoma maana yake afanye kazi field aliyosomea

Kufeli kwa serikali na ukosefu wa mitaji ndio sababu ya wasomi kuwa desperate
Sawa serikali imefeli kuwa miundombinu...Unamshauri vipi graduate
 
Simsemi mtoa thread ni general comment.....watu wanaishiaga tu kusema hivi ukimfata akupe abc utapewa the impossibles hadi unawaza sa kwanini katufokea.

Kuna simu niliwahi kuandika hapa natamani kubadili pm jamaa kakoment aah njoo pm kuna kazi bla bla nkaenda pm mweeh ye mwenyewe mbangaizaji tu jamani [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeshangaa sana. Kuna vitu watu tunafanya kutafuta riziki ila hata sio vya kujivunia mbele za watu hadi kutolea mifano. Kuuza uji ni nini mbona hata asiyejua kusoma wala kuandika anaweza kuuza.
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
U
Unajua jamii yetu imejawa na watu wenye roho mbaya sana wanaopenda kuona wasomi wetu baada ya kuhitimu masomo yao wakiteseka tambua watu wote sio sawa magap kwenye maisha lazima kila mtu anamaono yake C kila mtu anaweza kufanya kila kitu
Unajua binadamu kuna umri anajipambanua na kuchagua kipi afanye kwenye maangaiko yake ya maisha ndio mana kuna watu wa fani mbalimbali , ni faraja kubwa sana kufanya kazi hle uipendayo uliyoiangaikia kuisomea miaka mingi na kupitia changamoto nyingi japo c dhambi na wapo watu ambao wamesoma hila liziki zao wanapata nje ya elimu zao na awajawaza kabisa kuja kutumia hvo vyeti vyao
Ndugu zangu watanzania c kila msomi anaweza akafanya biashara ndugu zangu watanzania pia kunakujitafuta utawezaje jifananisha na mtu uliyehitimu nae form 4 mfano mwaka mmoja then wewe ukarudi mtaa kupambana na maisha na yeye akaenda kutoboa uko vyuon wewe wa kidato cha nne utakua ushajitafuta na kujipata huyu wa chuo bado ndo anaanza kujitafuta atajipata tu ni suala la mda.
Ajira ndio wasomi wetu wanawaza kuajiriwa tu na wana aki ya kuajiriwa na serikali ndio inajukumu la kuwawekea misingi mizuri ya ajira hiwe sekta binafsi au wapi aijalishi uwingi wao wanapaswa kuajiriwa na pesa zipo nyingi hadi nyingine akunanpa kuziweka zinaibiwa tu na wanasiasa Kunanchi jobless kwanapokea mil 12 why tanzania ishindwe ajiri mtu mshahara wake aufiki na mil 1 wakati wanauwezo wa kulipa pesa ya ndege moja kwa bei ambayo ingefaa kununulia ndege mbili na chenji ikarudi.
Chanzo cha maangaiko haya ya wasomi wetu mchawi ni ccm chini ya raisi samia full stop mengine mnawaonea bure tu mtu kapoteza miaka 5 kabobea kwenye matibabu leo mwamwabia afanye biashara c wote wataweza huyu ameshajipambanua ni mtabibu awezeshwe kwenye utabibu huo huo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Eve hebu nisaidie mchongo wa kazi, au nawee ndo kuna mchongo Una usikilizia??

Nimeachwaa mwenzio, eti mie ni Feminist, uwiiih
Kazi gani sasa unataka lakini wakati we mwenyewe hapo ni kazi tayari 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom