Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Kweli mkuu , inaumiza sana ajira za kupigiana magoti .
 
kama vijana wa kitanzania tupoteali serikal ituuze mataifa mengine ambayo yana nguvu kazi ndogo ili kutajipatie lizki uko uko kama serikali ina uhusiano mzuri na mataifa yaliyo endelea bora iwafanyie vijana mpango kuliko wa vijana baki TZ na waendelee kubet [emoji3][emoji28]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hali ni mbaya mno
 
Umeeleza vyema sana. Unakutana na msomi anakuambia yeye hawezi fanya kazi nje ya alichosomea, anapiga teke fursa zinazomzunguka huku akiwa hana chochote afanyacho, umri unasogea+majukumu. Siku akija kushtuka anakua kashachelewa.

Kitu ambacho wasomi huweza kufanya mtaani ni kuilaumu serikali.
 
Narudia tena, kuna dada mmoja alimaliza degree yake pale mlimani, badala ya kutembea na CV yake maofisini kuomba kazi, alifanya kazi ya kuuza uji wa ulezi. Anatembeza na chupa yake kubwa ya uji na kuuza uji na ucheshi mzuri. Sasa hivi amefungua saloon yake kwa kutumia kipato cha kuuza uji na mambo yake ni mazuri. Kazi ni kazi, ili mradi ujue kwa siku unaingiza ngapi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kulaumu na kujipa u special ..hakika ni ulimbukeni wa hali ya juu
 
Siku hizi mchawi HR HR akikukubari kazi IPO kiganjani mwako, nazungumzia Private Sector sio Government's
Huna connection kwa zama hizi ni kilio utazunguka sana na bahasha. Nna jamaa yangu mtaji wa biashara kamalizia kwenye kuzungukia interviews ambazo hazijazaa matunda. Now anajilaumu sana angefocus na biashara angekuwa mbali.
 
Very true mkuu [emoji817]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kulaumu na kujipa u special ..hakika ni ulimbukeni wa hali ya juu
Ulimbukeni haswa, matarajio yanawafanya wengi wasitimize na kuishi ndoto zao. Mtu anaona ni aibu kufanya kazi ya nguvu inayomuingizia 10K-15k ili hali hana chochote anachofanya. Na kauli zao "mimi msomi mzima bhana nna degree yangu siwezi kufanya kazi za nguvu".

Wengi wasichojua ni kuwa bills na mahitaji hayaitaji level yako ya elimu, yanahitaji pesa bila kujali imepatikana kwa njia gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…