Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
- Thread starter
- #41
Indeed , wanaleta swagger kwenye maisha, ubishoo na u sister duu wa kuchagua chagua ndo huwapeleka kwenye depressionUlimbukeni haswa, matarajio yanawafanya wengi wasitimize na kuishi ndoto zao. Mtu anaona ni aibu kufanya kazi ya nguvu inayomuingizia 10K-15k ili hali hana chochote anachofanya. Na kauli zao "mimi msomi mzima bhana nna degree yangu siwezi kufanya kazi za nguvu".
Wengi wasichojua ni kuwa bills na mahitaji hayaitaji level yako ya elimu, yanahitaji pesa bila kujali imepatikana kwa njia gani.