Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
So mkuu unadhani kumiliki company ya usafiri wa bajaj ni kama kuibuka tu kutoka mtoni hakuna kuanzia chini.Tofaitisha kumiliki kampuni ya usafiri was bajaji na mimi kuwa dereva was bajaji eti jioni naoeleka kioande kwa bosi au hata kama bajaji ni yangu niwe naendesha mwenyewe ni umbuzi
Na hili gazeti la mwananchi wanafeli sana, badala ya kutuletea emerging youth billionaires watu wawe inspired, tunarudishana kwenye udereva wa bajaji
Mkuu maisha ni uhalisia si hisia. Nina mfano wa jamaa zangu wawili.Imagine wewe ni masikini then uwe na elimu kubwa na ushamaliza chuo considering una plans za kumiliki company.
Ungefanyaje?