Wasomi mpo?

Wasomi mpo?

ama kweli kuxoma kuna kazi maana kila swali utakalko ulizwa unahisi ni mtihani tu
 
Msomi hakuwa sawa kwa upande wowote ule coz aliulizwa "anajifunza nn?". Alidhani concentration inaishia kwenye vitabu na kufanya research tu
 
hahaha inachekesha lakin mi naona msomi alikua sawa kwa upande wake coz huyo kijana aliuliza unaona nin angan ilo swal lilikua general sana

hapana msomi kachemka aliulizwa unajifunza nini kutokana na hicho unachoona?
 
Back
Top Bottom