Wasomi mpo?

Wasomi mpo?

Msaa machache baadae, Yule kijana asiye msomi akamwamsha yule msomi na kumwambia:”angalia angani na niambie nini unaona ?”

Jamaa mwenye PHD akajibu:”Naona mamilioni ya nyota na mbalamwezi” Yule kijana asiye msomi tena akauliza “Unajifunza nini ukiona hivyo?”

Yule msomi akatafakari kwa dakika kadhaa kisha akajibu:

“kiunajimu inaonyesha kuwa kuna fursa nyingi sana katika hii dunia kwetu wanadamu.

Kwa upande wa muda inaonyesha ni usiku wa manane na pia kwa upande wa imani inadhihirisha kuwa Mungu ni muweza wa vyote na sisi kwake ni viumbe wadogo sana na tusio na mamlaka.

Kwa upande wa wanahewa ni kwamba kesho itakuwa siku nzuri sana. Kwa upande wako wewe inakuambia nini?”

Yule jamaa asiye msomi akakaa kimya kwa muda na kisha akasema: “Kiuhalisia …… Inaniambia mimi kuwa ….”Hema letu limeibiwa!!
[/QUOTE]
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

the mask.jpg
 
Back
Top Bottom