Hahahaah,,,,,huu usomi.!!
hahahaha pole ya msomi
Atakuwa profesere jk mzee wa mabusha!
Hahaha
hema limeibiwa au hema limeibwa?
Kiswahili tu lakini si umeelewa?
kilaza huyo ndo maana alifeli somo la kiswahili anajitia anakijua xana si ndo wasomi wenyewe hao
hema limeibiwa au hema limeibwa?