Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Mattzo ya palestina ww yanakusaidia nn hao wanazuoni na wasomi watoe tamko vita ya kongo sudam somaria izo ndo zetu waafrika

Watanzania tupunguze kuishi kwa trend na mihemko ya kishamba unawaza mattzo ya warabu umaacha kuwaza mattzo ya waafrika wenzako
 
Bila
Bila misaada ya kifedha na kijeshi kutoka Marekani,Israel inadundwa hata na Burundi..
Thubutu,waulize Hamas kinachowapata sasa hivi.Na kwa nini Palestina isipate misaada ya Kifedha na Kijeshi kama Mungu yupo upande wao?
 
Mattzo ya palestina ww yanakusaidia nn hao wanazuoni na wasomi watoe tamko vita ya kongo sudam somaria izo ndo zetu waafrika

Watanzania tupunguze kuishi kwa trend na mihemko ya kishamba unawaza mattzo ya warabu umaacha kuwaza mattzo ya waafrika wenzako
Hasa hasa ya Watanzania wa Ngorongoro na Loliondo.
 
Soma vizuri maelekezo ya Yoshua walipoingia kaanani waliambiwa wawafanyeje wageni wa kaanani.
Ndiyo huo mwiba unao wachoma, wao waliwaacha kwa ajili yakuwapasulia kuni lakini wakizaliana
 
Thubutu,waulize Hamas kinachowapata sasa hivi.Na kwa nini Palestina isipate misaada ya Kifedha na Kijeshi kama Mungu yupo upande wao?
Kitu hujui ni kuwa Marekani kapeleka meli mbili kubwa za kijeshi kuyazuia mataifa ya kiarabu yasiwasaidie hamas....
Mungu ansyewalinda ni mchovu
Wakati wanabutuliwa alikuwa wapi
 
Kitu hujui ni kuwa Marekani kapeleka meli mbili kubwa za kijeshi kuyazuia mataifa ya kiarabu yasiwasaidie hamas....
Mungu ansyewalinda ni mchovu
Wakati wanabutuliwa alikuwa wapi
Mbona Urusi na China zipo kwa nini zisisaidie mataifa ya Kiarabu?
 
Sio kila kitu kinatatuliwa kijeshi
Ndio maana Urusi na China wanataka wakae mezani...
China na Urusi wakijiingiza katika hili kijeshi basi ujue dunia inaenda kuwa majivu
Acheni uchokozi usio na sababu ili mpate pa kuongelea.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Hawa ni washenzi, tu, wakati Maghu anaua watu, walikaa kimya, wakaufyata, wakawa machawa ili wapewe uteuzi,
Wanazuoni wetu, ni, njaa tu, anayetesa watu, akiwapa ulaji, anabadirika anakuwa maraika.
 
Kipigo mmekipata Kunguni nyie mlifikiri kuwa Israel ni Sudan.
Mnajidai na MOSSAD kuwa shirika Bora, vipi mateka mmewapata? Yaani ukubwa wa Gaza nikama kutoka Mbezi ya Kimara mpaka Manzese lkn hamuwezi kutoa mguu ahahahaha
 
Taifa teule lina maashoga na wasagaji wa kutosha...
Wale ni wazungu waliovamia Palesstina kutoka Ujerumani
Wapumbavu watupi! Huwa nashangaa Waafrika kujipendekeza Kwa Israel wakati wao hawamtambui hata huyo Kristo
 
Wapumbavu watupi! Huwa nashangaa Waafrika kujipendekeza Kwa Israel wakati wao hawamtambui hata huyo Kristo
Mental slaavery
Wazungu na waarabu walitumia akili sana walipohakikisha wanawaachia waafrika upuuzi wao unaoitwa dini ili wawe watumwa wao milele.
 
Wasomi hawa vipi? Kwann wasiwakaripie magaidi akina Hamas??
 
Back
Top Bottom