Bila misaada ya kifedha na kijeshi kutoka Marekani,Israel inadundwa hata na Burundi..Kipigo mmekipata Kunguni nyie mlifikiri kuwa Israel ni Sudan.
Isael ni Taifa teule.Mungu wa Israel!!!
Kwanini sio mungu wa Tanzania?
Thubutu,waulize Hamas kinachowapata sasa hivi.Na kwa nini Palestina isipate misaada ya Kifedha na Kijeshi kama Mungu yupo upande wao?Bila
Bila misaada ya kifedha na kijeshi kutoka Marekani,Israel inadundwa hata na Burundi..
Hasa hasa ya Watanzania wa Ngorongoro na Loliondo.Mattzo ya palestina ww yanakusaidia nn hao wanazuoni na wasomi watoe tamko vita ya kongo sudam somaria izo ndo zetu waafrika
Watanzania tupunguze kuishi kwa trend na mihemko ya kishamba unawaza mattzo ya warabu umaacha kuwaza mattzo ya waafrika wenzako
Ndiyo huo mwiba unao wachoma, wao waliwaacha kwa ajili yakuwapasulia kuni lakini wakizalianaSoma vizuri maelekezo ya Yoshua walipoingia kaanani waliambiwa wawafanyeje wageni wa kaanani.
Kitu hujui ni kuwa Marekani kapeleka meli mbili kubwa za kijeshi kuyazuia mataifa ya kiarabu yasiwasaidie hamas....Thubutu,waulize Hamas kinachowapata sasa hivi.Na kwa nini Palestina isipate misaada ya Kifedha na Kijeshi kama Mungu yupo upande wao?
Mbona Urusi na China zipo kwa nini zisisaidie mataifa ya Kiarabu?Kitu hujui ni kuwa Marekani kapeleka meli mbili kubwa za kijeshi kuyazuia mataifa ya kiarabu yasiwasaidie hamas....
Mungu ansyewalinda ni mchovu
Wakati wanabutuliwa alikuwa wapi
Sio kila kitu kinatatuliwa kijeshiMbona Urusi na China zipo kwa nini zisisaidie mataifa ya Kiarabu?
Acheni uchokozi usio na sababu ili mpate pa kuongelea.Sio kila kitu kinatatuliwa kijeshi
Ndio maana Urusi na China wanataka wakae mezani...
China na Urusi wakijiingiza katika hili kijeshi basi ujue dunia inaenda kuwa majivu
Hawa ni washenzi, tu, wakati Maghu anaua watu, walikaa kimya, wakaufyata, wakawa machawa ili wapewe uteuzi,Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.
Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.
Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.
NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.
Tamko lao ni hili hapa chini.
Mnajidai na MOSSAD kuwa shirika Bora, vipi mateka mmewapata? Yaani ukubwa wa Gaza nikama kutoka Mbezi ya Kimara mpaka Manzese lkn hamuwezi kutoa mguu ahahahahaKipigo mmekipata Kunguni nyie mlifikiri kuwa Israel ni Sudan.
Wapumbavu watupi! Huwa nashangaa Waafrika kujipendekeza Kwa Israel wakati wao hawamtambui hata huyo KristoTaifa teule lina maashoga na wasagaji wa kutosha...
Wale ni wazungu waliovamia Palesstina kutoka Ujerumani
Ebu tueleze wewe nini maana ya wanazuoniUshamba tu unawasumbua hao jamaa eti wanazuoni ,pumbavu zao kabisa.
Tenaa kama hamjui huko Palastina wayahudi wanawatemea mate Wakristo na kubomoa makanisaWapumbavu watupi! Huwa nashangaa Waafrika kujipendekeza Kwa Israel wakati wao hawamtambui hata huyo Kristo
Mental slaaveryWapumbavu watupi! Huwa nashangaa Waafrika kujipendekeza Kwa Israel wakati wao hawamtambui hata huyo Kristo
Emancipate yourself from mental slavery..Acheni uchokozi usio na sababu ili mpate pa kuongelea.