Prof Gamba
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 390
- 266
<>Majibu<>
- Mikate: 8, ukigawa kila mkate vipande vitatu sawa 1/3 jumla vipande vitakuwa 24.
- Wamekula sawa kwa sawa, ina maana kila mmoja kala vipande 8. 1=8 x 3 = 24
- Yule wa mikate mitano (5) atatoa vipande 15 = (3 x 5 = 15) kwenye mikate yake, na amekulaa vipande 8 na kubakia vipande 7 = (15 - 8 = 7)
- Yule wa mikate mitano (3) atatoa vipande 9 = (3 x 3 = 9) kwenye mikate yake, na amekulaa vipande 8 na kubakia kipande 1 = (9 - 8 = 1)
- 7 ya kwanza jumlisha na 1 unapata vipande nane (8) alivyokula yule wa tatu.
- Kimahesabu, yule wa tatu kala Kipande kimoja (1) cha yule aliyetoa mikate 3 na kala vipande saba (7) kwa yule aliyetoa mikate 5... Kimalipo uwiano (ratio) ni 7:1
Ni sawa mkuu, lakini ulichokifanya kimahesabu hakina tofauti na nilichokifanya, ni suala la sehemu na asilimia tuu, ndo inakufanya uweze kupata majibu ya swali hilo, mwingine anaweza kugawa vipande sita kwa kila mkate, au kama mimi nilivyoenda moja kwa moja kuigawa mikate 8 kwa watu watatu na majibu yangu mengi kuwa kwenye sehemu. Ni mambo ya kukumbuka tuu unachokifanya.