MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena
Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu
Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu