Wasomi Tanzania wamejichokea kwa corona, Profesa mzima anajisifia kutokuvaa barakoa ili amfurahishe mkulu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena

Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu

Endeleeni na majungu EU washirika wa IMF (Mabeberu) inachukua minofu ya samaki Mwanza ku-boost protein ya waathirika wa coronavirus huko kwao! Huku wakiwaambia mkae lockdown.

MY TAKE
Wake up

#UkaidiwaMagufuli#
#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Hata Trump havai barakoa. Inaonekana hata hujui unavaa barakoa kwa sababu gani, nyie ndio mnavaa barakoa mpaka chooni unavaa tu.
 
Endeleeni na majungu EU washirika wa IMF (Mabeberu) inachukua minofu ya samaki Mwanza ku-boost protein ya waathirika wa coronavirus huko kwao! Huku wakiwaambia mkae lockdown

MY TAKE
Wake up stuuuuuupid.....!

#UkaidiwaMagufuli#

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

The things that make you excited astonish me sometimes. Kenya and Uganda have been exporting fish for decades now is when you are starting?
 
Endeleeni na majungu EU washirika wa IMF (Mabeberu) inachukua minofu ya samaki Mwanza ku-boost protein ya waathirika wa coronavirus huko kwao! Huku wakiwaambia mkae lockdown

MY TAKE
Wake up stuuuuuupid.....!

#UkaidiwaMagufuli#

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

The value of Kenya's fish exports have been rising annually. From $ 200 million in 2012 to kes 27 billion in 2017 when we exported 148,000 tonnes of fish produce.
You guys are always late to the game, where have you been all these years?
 
Hapo Kabudi alichemka..ukweli ni lazima tuukiri.

Ila pia nyie wasomi wa Kenya wameamua kuweka usomi wao kapuni na kuifuata Marekani matakoni kwa kila jambo kwenye hili suala la Corona. Hatuchekani jomba
 
We mfuasi wa Jehovah Wanyonyi sikia.

Kuvaa mask kwa muda mrefu ni hatari kwa afya yako. Kivipi?

Tunavuta hewa safi, utaichuja kwa barakoa na itaingia ikiwa safi hilo good job, then utapumua carbon dioxide kuitoa nje, hewa yote chafu utaichuja na itabakia kwenye barakoa yako, utaendelea kuitumia hadi utakapovua barakoa.

Kuvaa mask bila sababu ya msingi na kwa muda maalumu, siyo salama kwako
Endeleeni na majungu EU washirika wa IMF (Mabeberu) inachukua minofu ya samaki Mwanza ku-boost protein ya waathirika wa coronavirus huko kwao! Huku wakiwaambia mkae lockdown

MY TAKE
Wake up stuuuuuupid.....!

#UkaidiwaMagufuli#

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The value of Kenya's fish exports have been rising annually. From $ 200 million in 2012 to kes 200 billion in 2017 when we exported 148,000 tonnes of fish produce.
You guys are always late to the game, where have you been all these years?
Stop your nonsense, Kenya imports fish from China yearly to fill the gap of its fish demand, how is it possible to export something which is not even enough for domestic markets?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mfuasi wa Jehovah Wanyonyi sikia.

Kuvaa mask kwa muda mrefu ni hatari kwa afya yako. Kivipi?

Tunavuta hewa safi, utaichuja kwa barakoa na itaingia ikiwa safi hilo good job, then utapumua carbon dioxide kuitoa nje, hewa yote chafu utaichuja na itabakia kwenye barakoa yako, utaendelea kuitumia hadi utakapovua barakoa.

Kuvaa mask bila sababu ya msingi na kwa muda maalumu, siyo salama kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ume-quote mtu wrong!
 
Mbona tuliwasmbie tufunge mipaka tusitembeleane ili kila nchi ibaki na virusi vyake hamtaki mnalazimisha lazima tutembeleane? Sisi hatutaki kupima wala kuvaa barakoa, tunachotaka ni kufunga mipaka kila mtu abaki kwao ili tuone nani ni kidume.
 
hata trump havai barakoa wewe mbuzi.

inaonekana hata hujui unavaa barakoa kwa sababu gani,nyie ndio mnavaa barakoa mpaka chooni unavaa tu.
Yaani hata kwenye vitu vya kisayansi pia mnangoja mabeberu wafanye kwanza ndio muige? Haya basi, bwana yenu Trump alivaa barakoa, igeni sasa.
images
 
Stop your nonsense, Kenya imports fish from China yearly to fill the gap of its fish demand, how is it possible to export something which is not even enough for domestic markets?

Sent using Jamii Forums mobile app
Here is more information. Tanzania will always be 20 years behind Kenya. Things that Kenya has been doing for decades is what you proudy put as progress in 2020.

Unlike Tanzania, Kenya has the highest number of fish processing factories in east africa majorly in Kisumu, Thika, Nairobi and Kakamega despite having the smallest portion of Lake victoria. Our secret is fish farming which now contributes 50% of fish exports.

We are yet to fully utilize our part of the indian ocean despite having the second largest population of Tuna in the world in our economic zone of the indian ocean at 20%.
Kenya shifts attention to Sh200b fish export market
 
umeandika kwa uchungu, Yule pro-pesa wa JALALANI, anajidhalilisha sana, sijui mhaya wa wapi, kanyigo huko katerero.
Just kuvua mask ili rais akuchekee na kukutaja?

Elimu yake inasaidia nini ssa, jitu limestaafu na mafao zaidi ya ilioni 200, lina watoto washamaliza shule, lina biashara, bado ubunge na uwaziri zaidi ya milioni 15 kwa mwezi alafu linalamba viatu
 
Manyang'au wa "Kinyata" mnajitundika mibarakoa usoni ili ati mfanane na muzungu!!!

Wewe hilo barakoa lako wapi na wapi bhana wakati hapo kibera ni kitovu cha Kipindupindu na magonjwa ya kila aina, watu wanakufa hovyo kama mchwa!

Barakoa lenyewe mmepewa dezo na mchina (mkoloni wenu wa kudumu).

Borris kawateka, mchina kawateka! Mnaburuzwa tu kama mazombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana wetu au Bwana wenu?? Msituzushie!!

Nyie wenyewe mumetumia mfano wa Trump kama sababu za kutovaa masks, juzi huyo trump kasema watu wanywe sijui detergents kama dawa ya corona, natumai hamkuingia huo mkenge maana ninavyowafamu mlivyo, huwa hamuna za kujiongeza.
 
Back
Top Bottom