Wasomi Tanzania wamejichokea kwa corona, Profesa mzima anajisifia kutokuvaa barakoa ili amfurahishe mkulu

Endeleeni na majungu EU washirika wa IMF (Mabeberu) inachukua minofu ya samaki Mwanza ku-boost protein ya waathirika wa coronavirus huko kwao! Huku wakiwaambia mkae lockdown

MY TAKE
Wake up stuuuuuupid.....!

#UkaidiwaMagufuli#

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Kuja JKIA 10pm uone mandege zikichukua mizigo,
Kq,ethiopian,british,etc
Nyinyi kandege kamoja kanachukua mzigoalafu inakuwa historia,
Ethiopian na kq kwanza inachukua chai Eldoret airport Kila siku from April,
Si Kila kitu ni siasa ndio president aonekane mini god
 
Manyang'au wa "Kinyata" mnajitundika mibarakoa usoni ili ati mfanane na muzungu!

Wewe hilo barakoa lako wapi na wapi bhana wakati hapo kibera ni kitovu cha Kipindupindu na magonjwa ya kila aina, watu wanakufa hovyo kama mchwa!

Barakoa lenyewe mmepewa dezo na mchina (mkoloni wenu wa kudumu).

Borris kawateka, mchina kawateka! Mnaburuzwa tu kama mazombi.Sent using Jamii Forums mobile app
Eti China, ndio maana azma yenu ya Tz ya viwanda iliishia tu kwenye viwonder. Sasa hivi Kenya kuna viwanda
vinatengeneza barakoa(approved) zaidi ya 50,000 kwa shift moja tu.

Endeleeni tu kumeza propaganda za sisiemu, kwamba eti wakenya tumejifungia manyumbani na tupo under total lockdown.

Ventilator pia zinatengenezwa hapa hapa nchini Kenya. Nyie hata kuvumbua tu mashine ya kuboresha wazo lenu potovu la kujifukiza mmeshindwa. Mpo mpo tu mnapambana na nyungu kama Karumanzila. 😀
 
Hapo Kabudi alichemka..ukweli ni lazima tuukiri.
Ila pia nyie wasomi wa Kenya wameamua kuweka usomi wao kapuni na kuifuata Marekani matakoni kwa kila jambo kwenye hili suala la Corona. Hatuchekani jomba
Kenya imewahi ipatia marekani Rais. A man from Kogelo.
 
Eti China, ndio maana azma yenu ya Tz ya viwanda iliishia tu kwenye viwonder. Sasa hivi Kenya kuna viwanda vinatengeneza barakoa(approved) zaidi ya 50,000 kwa shift moja. Endeleeni tu kumeza propaganda za sisiemu, eti kwamba wakenya tumejifungia manyumbani na tupo under total lockdown. pia zinatengenezwa hapa hapa nchini Kenya. Nyie hata kuvumbua tu mashine ya kuboresha wazo lenu potovu la kujifukiza mmeshindwa. Mpo mpo tu mnapambana na nyungu kama Karumanzila. 😀

LOL Tanzania inatengeneza barakoa hata kabla ya Corona
 
The value of Kenya's fish exports have been rising annually. From $ 200 million in 2012 to kes 27 billion in 2017 when we exported 148,000 tonnes of fish produce.
You guys are always late to the game, where have you been all these years?
Eti China, ndio maana azma yenu ya Tz ya viwanda iliishia tu kwenye viwonder. Sasa hivi Kenya kuna viwanda vinatengeneza barakoa(approved) zaidi ya 50,000 kwa shift moja. Endeleeni tu kumeza propaganda za sisiemu, eti kwamba wakenya tumejifungia manyumbani na tupo under total lockdown. pia zinatengenezwa hapa hapa nchini Kenya. Nyie hata kuvumbua tu mashine ya kuboresha wazo lenu potovu la kujifukiza mmeshindwa. Mpo mpo tu mnapambana na nyungu kama Karumanzila. 😀
😂😂😂😂 yaani Tanzania tunatengeneza dawa ya 3 ya Corona sasa, ninyi bado mpo kwenye barakoa?

Unafikiri ni kwa nini hatuna wagonjwa mahospitalini? Akili za misukule ya wazungu wa kunyans hamuwezi kufika hapa

Angalia comments za ndugu zako wakiomba uraia wa Tanzania 😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kenya ni nchi pekee hapa EAC ambayo haijitoshelezi kwa kila kitu. Vyombo vyenu vya habari ndio vimewajaza ujinga kuandika mambo ya kujisifu hata kama sio ukweli.

Wewe umeona wapi nchi yenye kuzalisha samaki 180,000 metric tones kwa mwaka, na mahitaji yake ni 500,000 metric tones, yaani bado inaupungufu wa 300,000metric tones, lakini hiyo nchi bado iwe na uwezo wa Ku export Samaki?, mbona hamfanyi hivyo katika mahindi?.

Kenya inapoteza millions of $ kwa mwaka kwa ajili ya kuagiza Samaki toka China, vipi tena iweze kuuza Samaki nje ya nchi?.
FACTSHEET: Why China’s fish is set to stay on Kenya’s menu | Africa Check

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Here is more information. Tanzania will always be 20 years behind Kenya. Things that Kenya has been doing for decades is what you proudy put as progress in 2020.

Unlike Tanzania, Kenya has the highest number of fish processing factories in east africa majorly in Kisumu, Thika, Nairobi and Kakamega despite having the smallest portion of Lake victoria. Our secret is fish farming which now contributes 50% of fish exports.

We are yet to fully utilize our part of the indian ocean despite having the second largest population of Tuna in the world in our economic zone of the indian ocean at 20%.

Kenya shifts attention to Sh200b fish export market
Nenda kawadanganye wanigeria kwa kutumia vijarida vyenu vya Kibera. Mwaka Jana kulikua kidogo kutokee msuguano kati ya China na Kenya, baada ya Uhuru Kenyatta kutaka kuzuia Samaki toka China.

Kenya mnaimports fish, hamjajitisheleza katika uzalishaji wa Samaki, hadi sasa Samaki wanaozalishwa Kenya ni 45% ya mahitaji ya ndani ya nchi, iweje muweze kuuza Samaki nje ya nchi?. Huo ni uchumi gani unaozalisha chakula kwa ajili ya soko la nje wakati nchini mahitaji bado ni makubwa?

FACTSHEET: Why China’s fish is set to stay on Kenya’s menu | Africa Check

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti China, ndio maana azma yenu ya Tz ya viwanda iliishia tu kwenye viwonder. Sasa hivi Kenya kuna viwanda vinatengeneza barakoa(approved) zaidi ya 50,000 kwa shift moja tu. Endeleeni tu kumeza propaganda za sisiemu, kwamba eti wakenya tumejifungia manyumbani na tupo under total lockdown. Ventilator pia zinatengenezwa hapa hapa nchini Kenya. Nyie hata kuvumbua tu mashine ya kuboresha wazo lenu potovu la kujifukiza mmeshindwa. Mpo mpo tu mnapambana na nyungu kama Karumanzila. 😀
Nyang'au unakumbuka lakini kufuata matakwa ya "Kinyata" na sayansi zake uchwara za curfew?

Nasikia huko Kinya corona inaambukiza usiku tu! [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ni nchi pekee hapa EAC ambayo haijitoshelezi kwa kila kitu. Vyombo vyenu vya habari ndio vimewajaza ujinga kuandika mambo ya kujisifu hata kama sio ukweli.

Wewe umeona wapi nchi yenye kuzalisha samaki 180,000 metric tones kwa mwaka, na mahitaji yake ni 500,000 metric tones, yaani bado inaupungufu wa 300,000metric tones, lakini hiyo nchi bado iwe na uwezo wa Ku export Samaki?, mbona hamfanyi hivyo katika mahindi?.

Kenya inapoteza millions of $ kwa mwaka kwa ajili ya kuagiza Samaki toka China, vipi tena iweze kuuza Samaki nje ya nchi?.
FACTSHEET: Why China’s fish is set to stay on Kenya’s menu | Africa Check

Sent using Jamii Forums mobile app
Do not change the subject you said Kenya does not export fish. I gave you evidence that we export more fish than Tanzania and we have done so for decades.

Read the link on Kenyan fish exports fetch more money than we spend on imports.Do you ever read the evidence you always ask for?
 
Kenya ni nchi pekee hapa EAC ambayo haijitoshelezi kwa kila kitu. Vyombo vyenu vya habari ndio vimewajaza ujinga kuandika mambo ya kujisifu hata kama sio ukweli.

Wewe umeona wapi nchi yenye kuzalisha samaki 180,000 metric tones kwa mwaka, na mahitaji yake ni 500,000 metric tones, yaani bado inaupungufu wa 300,000metric tones, lakini hiyo nchi bado iwe na uwezo wa Ku export Samaki?, mbona hamfanyi hivyo katika mahindi?.

Kenya inapoteza millions of $ kwa mwaka kwa ajili ya kuagiza Samaki toka China, vipi tena iweze kuuza Samaki nje ya nchi?.
FACTSHEET: Why China’s fish is set to stay on Kenya’s menu | Africa Check

Sent using Jamii Forums mobile app
Just in case you intentionally did not read it. Here is the link again. Read and learn then come and talk like a man. Kenya gets more money by exporting fish. The money we use to import fish is less than what we get by exporting.

Fish exports earn more than imports
 
Kenya ni nchi pekee hapa EAC ambayo haijitoshelezi kwa kila kitu. Vyombo vyenu vya habari ndio vimewajaza ujinga kuandika mambo ya kujisifu hata kama sio ukweli.

Wewe umeona wapi nchi yenye kuzalisha samaki 180,000 metric tones kwa mwaka, na mahitaji yake ni 500,000 metric tones, yaani bado inaupungufu wa 300,000metric tones, lakini hiyo nchi bado iwe na uwezo wa Ku export Samaki?, mbona hamfanyi hivyo katika mahindi?.

Kenya inapoteza millions of $ kwa mwaka kwa ajili ya kuagiza Samaki toka China, vipi tena iweze kuuza Samaki nje ya nchi?.
FACTSHEET: Why China’s fish is set to stay on Kenya’s menu | Africa Check

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hvyo vyombo vyetu vya habari ukome kuvitumia km ushahidi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kawadanganye wanigeria kwa kutumia vijarida vyenu vya Kibera. Mwaka Jana kulikua kidogo kutokee msuguano kati ya China na Kenya, baada ya Uhuru Kenyatta kutaka kuzuia Samaki toka China.

Kenya mnaimports fish, hamjajitisheleza katika uzalishaji wa Samaki, hadi sasa Samaki wanaozalishwa Kenya ni 45% ya mahitaji ya ndani ya nchi, iweje muweze kuuza Samaki nje ya nchi?. Huo ni uchumi gani unaozalisha chakula kwa ajili ya soko la nje wakati nchini mahitaji bado ni makubwa?
FACTSHEET: Why China’s fish is set to stay on Kenya’s menu | Africa Check

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hujielewi kabisa, hvyo hvyo vyomba utakuja kuvitumia km ushahidi wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mpo desperate sana mazee[emoji122][emoji122]

YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

habarileo.co.tz17h

[https://res]

NCHI za Tanzania na Kenya zimeafikiana kuwa madereva watatakiwa kupimwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona katika nchi zao na kupewa cheti maalum kitakachowatambulisha kutokuwa na maambukizi ambacho kitakuwa halali kwa siku 14 pekee.

Baada ya siku hizo kukamilika, madereva hao watalazimika kupimwa tena wakiwa nchini Kenya au Tanzania na endapo watagundulika, watarudishwa katika nchi zao.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele leo, Ijumaa, mpakani Namanga baada kumalizika kikao kilichomjumuisha Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, James Macharia.

Kukutana kwa mawaziri hao na hatimaye kufikia makubaliano hayo kumetokana na mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu baina ya Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Akiwa mkoani Singida, Rais Magufuli alibainisha kuwa wameshamaliza sintofahamu hiyo hivyo ilikuwa ni suala la watendaji wa serikali zote mbili kukutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo si msomi Mkuu aliokotwa jalalani😂😂 Msomi hawezi akaongea UPUUZI kama huo kuhusu ugonjwa ambao umeshaua zaidi wa watu 340K duniani na kuutikisa uchumi wa dunia kwa mtikisiko ambao haujawahi kutokea kwa zaidi ya karne sasa.

Hawa wenzetu ndio wanataka tupishane kwenye mipaka bila wao kupimwa, kwao huko wataalam na wasomi wote wamejichokea kwenye hili la corona na wote wamejiunga kwenye praise team, hakuna anayediriki kuwa na mtazamo wa kitaalam tena

Kwenye hii video, profesa Kabudi, msomi aliyebobea anajisifia kutokuvaa barakoa ili amkoshe Rais. Sasa hawa ndio humshauri Mkulu mnaposkia kauli za kiajabu ajabu

Huyo si msomi Mkuu aliokotwa jalalani[emoji23][emoji23] Msomi hawezi akaongea UPUUZI kama huo kuhusu ugonjwa ambao umeshaua zaidi wa watu 340K duniani na kuutikisa uchumi wa dunia kwa mtikisiko ambao haujawahi kutokea kwa zaidi ya karne sasa.
YAMEKWISHA:Tanzania, Kenya zakubaliana namna ya kupima madereva Corona

habarileo.co.tz17h

[https://res]

NCHI za Tanzania na Kenya zimeafikiana kuwa madereva watatakiwa kupimwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona katika nchi zao na kupewa cheti maalum kitakachowatambulisha kutokuwa na maambukizi ambacho kitakuwa halali kwa siku 14 pekee.

Baada ya siku hizo kukamilika, madereva hao watalazimika kupimwa tena wakiwa nchini Kenya au Tanzania na endapo watagundulika, watarudishwa katika nchi zao.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwele leo, Ijumaa, mpakani Namanga baada kumalizika kikao kilichomjumuisha Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, James Macharia.

Kukutana kwa mawaziri hao na hatimaye kufikia makubaliano hayo kumetokana na mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu baina ya Rais John Magufuli na Uhuru Kenyatta wa Kenya.

Akiwa mkoani Singida, Rais Magufuli alibainisha kuwa wameshamaliza sintofahamu hiyo hivyo ilikuwa ni suala la watendaji wa serikali zote mbili kukutana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo si msomi Mkuu aliokotwa jalalani😂😂 Msomi hawezi akaongea UPUUZI kama huo kuhusu ugonjwa ambao umeshaua zaidi wa watu 340K duniani na kuutikisa uchumi wa dunia kwa mtikisiko ambao haujawahi kutokea kwa zaidi ya karne sasa.

Sijui kwanini wasomi hujichokea wakishapewa nyadhifa, huyo jamaa kuna kipindi alikuja hapa Kenya akatoa hotuba nzuri sana kuhusu uongozi na demokrasia, yaani nondo, mpaka nikajikuta najiambia huyu akawa rais wa Tanzania mnaweza mkatoka kimasomaso, tatizo nadharia tupu maana alipovuka mpaka na kurudi huko kwenu akashusha kila kitu na kurudia hali yake ya awali.
Itazame hii video tulivyomshabikia huyo Kabudi....

Kuja JKIA 10pm uone mandege zikichukua mizigo,
Kq,ethiopian,british,etc
Nyinyi kandege kamoja kanachukua mzigoalafu inakuwa historia,
Ethiopian na kq kwanza inachukua chai Eldoret airport Kila siku from April,
Si Kila kitu ni siasa ndio president aonekane mini god
ndege mbili Mwanza Airport! Ungetuambia Kisumu International Airport inapokea ndege zipi? can a dreamliner land there? forgetting the night flights!
 
Tatizo siyo wasomi ila tatizo ni mungu wa miungu bwana wa mabwana alfa na omega nani kama yeye!
 
Back
Top Bottom