Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
 
Bado hujayajibu maswali yangu!

Nimekuuliza maswali. Sijakuomba utoe mapovu.

Haya, yajibu basi maswali yangu.

Nimeshakuambia siulizwagi maswali na darasa la saba, wapi hunielewi Babu!!!

Unachoweza ku-share na mimi ni futuhi, vioja, na vichekesho vyako, sawa Mzee!

Au ndio umeanza kuniletea vioja hapa
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Tutambuane kisomi mkuu,Ili maada yetu isije kuvamiwa maana hata la saba au form 4, nao ni msomi sikuizi. Wewe unataaluma ya kitu gani,na ni katika level ipi?
 
Back
Top Bottom