Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Mimi ni msomi,ila wewe huwezi kuwa miongoni mwetu,maana msomi aliekamilika hawezi kuandika mashudu kama haya.

Wewe ni msomi, na hapo ulipo hujui hata matumizi ya R na L kwenye uandishi wako, lakini pia sijaona matumizi sahihi ya alama za uandishi.Kama wewe ndo aina ya wasomi mnaochipukia Tz, basi ni bora tukubaliane na Msukuma.

Watu wanakuuliza umesomea nini,unawajibu kihuni, msomi unatumia maneno kama "huelewi babu",nani babu yako humu?

Tukiachana na hayo yote, wewe hupaswi kubishana na Msukuma, maana pamoja na hizo unazoziita comedy,bado amekuzidi mbali sana wewe mwenye elimu makaratasi.Ukija kwangu,ukanambia wewe ni msomi,alafu huna hela,huna ajira, hujui kujenga hoja, mimi nakuchukulia kama mtu anaelezimisha puru(mknd) wake utafune muwa, wakati sio kazi uliyoumbiwa.

Unamuona Msukuma mjinga wakati,wewe unashonda jF kulalamikia maisha magumu.Sasa hiyo ni elimu au kinyesi tu.
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni

Yupo na yule sijui ‘Kibajaji’ ni kama wanalishwa maneno na ‘wachezeshaji’ nao wanamwaga tu ukizingatia na ufahamu wao tia maji tia maji unao pewa nguvu na tabaka kubwa ktk jamii yetu ambao kutokatana na kunyimwa haki zetu hasa elimu tunawaona kama wana ongea vya maana ( kama vipo vichache tu tena vya kuunga unga na uzoefu wa maisha yao huko mtaani)

Huwa wakiongea afu camera man akichukua ule upande wa PM eti nae anagonga meza unajua tu nani anae chezesha chekundu na cheusi dah

Wale wana tumwa kwa kazi za kujiripua tu sababu hawana cha kupoteza sio tu hata kwa heshima zao mpaka safari zao za siasa mwisho wake ni hapo (ubunge&udiwani) tu, hawana tena cha ku ‘dream’ zaidi ya hizo nafasi zao
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Apewe uwaziri wa nishati na madini
 
Mkuu unaweza kutuwekea Clip kasemaje huyo Msukuma Kasheku ili nasi tucheke?
 
Msomi wetu hajui kiswahili vizuri hata vivyo kaandika kwa shida sana hii mada tumvumilie [emoji1787]
 
Ebu nawe fanya kua serious ili tukuweke ktk mzani tuone kati yako na na msukuma nani anazo na hamnazo ni yupi pia
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
 
Naona unatokwa mapovu katika matundu yote saba ulonayo mwilini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujajua kwa nini wasomi hawawi matajiri na wanaishia kufa mapema baada ya kustaafu kutoka kwenye ajira, profesa wa ujasiliamali only investment ni Lodge Msamvu Morogoro badala ya ndani ya Mikumi National Park au shamba lenye nguruwe 20 na mbuzi na Hilux pickup

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Msukuma ataendelea kuwadharau kwa sababu vyeti vyenu mnaenda navyo bar kuwaonyesha wale wauza kinywaji kuwa mmesoma badala ya kutatua changamoto za Watanzania mpo busy na vitu visivyoeleweka...
 
Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa

Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?

Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
Ooh koki imefunguliwa
 
Back
Top Bottom