Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa

Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?

Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
Umemaliza kazi kwa huyo mataga
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Bira shaka=Bila shaka.

Tunafulahishwa=Tunafurahishwa

Sirius=Serious

Mapolopesa=Maprofesa

Lasmi=Rasmi

Atufulahishe=Atufurahishe

Ni hayo tu Msomi
 
Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa

Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?

Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
Wewe ni nshomile?
 
Bira shaka=Bila shaka.

Tunafulahishwa=Tunafurahishwa

Sirius=Serious

Mapolopesa=Maprofesa

Lasmi=Rasmi

Atufulahishe=Atufurahishe

Ni hayo tu Msomi

Anayeongelewa unajua elimu yake mkuu?
 
Nimeshakuambia siulizwagi maswali na darasa la saba, wapi hunielewi Babu!!!

Unachoweza ku-share na mimi ni futuhi, vioja, na vichekesho vyako, sawa Mzee!

Au ndio umeanza kuniletea vioja hapa
Huyo ni maoni na hayo ndio majibu yake. Halafu anamshangaa King Musukuma!
 
Nimeshakuambia siulizwagi maswali na darasa la saba, wapi hunielewi Babu!!!

Unachoweza ku-share na mimi ni futuhi, vioja, na vichekesho vyako, sawa Mzee!

Au ndio umeanza kuniletea vioja hapa
Huyo ni msomi na hayo ndio majibu yake. Halafu anamshangaa King Musukuma!
 
Ni kama kinyago cha mpapure
JamiiForums-1799191380.jpg
 
Back
Top Bottom