Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Tuliaminishwa sisi tumesoma kumbe usomi wa Bongo ni wa kawaida kabisa "Critics and Arguments"ya Kibaji na Msukuma imewaondolea kabisa Maprofesa heshima Zao

Kama kuongea ongea ndio arguments basi sarange wa stendi wangekuwa na heshima

Msukuma ni kama Sarange tuu
 
Siku ukiangalia stand up comedy ndio utaelewa nilichoandika

Kwa sasa nipokee pole yako tuu
Hebu soma thread yako ya awali...

Spelling mistakes hata kwa maneno ya Kiswahili zipo rundo, uandishi mbovu, mpangilio wa mawazo ni sifuri... Halafu unajiita msomi... Akina sisi tusio wasomi tusemeje?... Kama wasomi ndo mpo hivi 🤣
 
Jf imejaa wapuuzi kwakweli, tofauti na mambo ya bikra sijawahi kukuta umetoa mada za msingi

Msukuma anadharauliwa na wapuuzi tu, ukiachilia mbali utoto wake hua ana hoja za msingi kuzidi hata hao wasomi.
 
Jinsi ulivyouona muandiko wangu ndivyo ninavyomuona Msukuma na kundi lake

Yaani wanachekesha na kufanya futuhi kama mwandiko wangu

Siwezi elezea jambo la kipuuzi kwa kutumia akili ya kisomi
 
Nani kamdharau Msukuma Na wewe!!!

Kumuita mtu mchekeshaji ni kumdharau?
Hicho ni kipaji alichojaliwa

Wewe umeandikaninj cha maana humu JF?
 
Nani kamdharau Msukuma Na wewe!!!

Kumuita mtu mchekeshaji ni kumdharau?
Hicho ni kipaji alichojaliwa

Wewe umeandikaninj cha maana humu JF?
Sijawahi kujiita msomi au kujisifia usomi humu ndani

Sasa wewe unaejisifia usomi halafu huna hata mada moja ya msingi humu ndani tukueleweje

Au unataka tuthibitishe vp usomi wako?
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Wasomi wa Tanzania ndio Wasomi pekee duniani wasiojua kuandika na kutamka herufi sahihi zinazotakana na lugha Mama, yani lugha yao ya asili waliyozaliwa nayo.
etu msomi anasema BIRA, TUNAFULAHISHWA, anandika neno la kiingereza SIRIUS, LASMI,ATUFULAHISHE,ANAAKILI.
Kama haitoshi, msomi anaandika neno ''wasomi''
 
😳😳😳

Kwani nani kakuita msomi Budah!

Kuandika cha maana hakuhitaji uwe msomi
Sawa Budah
 
Wasomi wa Tanzania ndio Wasomi pekee duniani wasiojua kuandika na kutamka herufi sahihi zinazotakana na lugha Mama, yani lugha yao ya asili waliyozaliwa nayo.
etu msomi anasema BIRA, TUNAFULAHISHWA, anandika neno la kiingereza SIRIUS, LASMI,ATUFULAHISHE,ANAAKILI.
Kama haitoshi, msomi anaandika neno ''wasomi''

Kwa hiyo unasemaje sasa?
 
Binafsi namkubali sana msukuma,yuko vzr sana,kuna watu wanafkiri cheti kinaongeza akili,tanzania tunao wasomi mizigo kabsa,ni majizi kweli kweli,
 
Hakuna asiyemkubali mchekeshaji kwani lengo lake ni kuchekesha Jamie yake
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Namna yako ya Uandishi,,darasa la saba B
 
LA saba wengi tuna hela lakini hatuna mahesabu ya kisomi,lol. IMG-20210331-WA0023.jpg
 
Jinsi ulivyouona muandiko wangu ndivyo ninavyomuona Msukuma na kundi lake

Yaani wanachekesha na kufanya futuhi kama mwandiko wangu

Siwezi elezea jambo la kipuuzi kwa kutumia akili ya kisomi
🤣🤣🤣🤣... We jamaa... Nimenyoosha mikono juu asee...
 
Back
Top Bottom