Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

He did it purposely... Toka lin joka hajui L na R! [emoji23]

Mtu anayeelezewa ni darasa la saba Alafu nijihangaishe kumuandikia kisomi ili iwe nini, hayo ni matumizi Mabaya ya usomi

Wao wakiongea na sisi lazima wajikakamue kutoa hoja na lugha zinazokaribia usomi ili tuone nao sio wajinga
 
Mimi ni msomi,ila wewe huwezi kuwa miongoni mwetu,maana msomi aliekamilika hawezi kuandika mashudu kama haya.

Wewe ni msomi, na hapo ulipo hujui hata matumizi ya R na L kwenye uandishi wako, lakini pia sijaona matumizi sahihi ya alama za uandishi.Kama wewe ndo aina ya wasomi mnaochipukia Tz, basi ni bora tukubaliane na Msukuma.

Watu wanakuuliza umesomea nini,unawajibu kihuni, msomi unatumia maneno kama "huelewi babu",nani babu yako humu?

Tukiachana na hayo yote, wewe hupaswi kubishana na Msukuma, maana pamoja na hizo unazoziita comedy,bado amekuzidi mbali sana wewe mwenye elimu makaratasi.Ukija kwangu,ukanambia wewe ni msomi,alafu huna hela,huna ajira, hujui kujenga hoja, mimi nakuchukulia kama mtu anaelezimisha puru(mknd) wake utafune muwa, wakati sio kazi uliyoumbiwa.

Unamuona Msukuma mjinga wakati,wewe unashonda jF kulalamikia maisha magumu.Sasa hiyo ni elimu au kinyesi tu.
Jf Mimi siondoki n'gooo.
Pana raha yake,labda nipigwe ban ya maisha.
 
Hahahhaha

Unazungumzia msomi mmoja kwa mia
Hao darasa la saba wao wanaishi maisha yapi?

Nilishaandikaga hapa siwezi shindwa kwenye maisha na mtu aliyelingana na mimi kiumri Alafu kaishia darasa la saba hapa nchini

Wewe kama umezidiwa na huyo Msukuma ni wewe Mzee
Darasa la saba kibao wamekuzidi maisha amini nachokwambia upo mkoa gani nikupe mfano hapo hapo ulipo kwenye hii big five...bongo kutafuta milioni unauma meno unajifanya mpo njema kwani si bongo hatuijui...
 
Kuna baadh ya mambo usomi Mara nyingi Hua hausaidii mfano ue Baharia ambae umerith toka kwa baba zako na maisha yako yote umekua baharia na mtu ambae kausomea miaka mitano unafikir mtaringana? Ila kwa msukuma Elim yake na Kaz anayo fanya haviendan kabisa sababu Ile kazi Inaitaj Elim kubwa sababu Ina mambo mengi makubwa Sema msukuma Hua anaonekana anajua Sana sababu wasom wengi mle ni wagonga Meza Hua hawajitumi

Msukuma anachojua ni uchuuzi
Sasa anadhani uchuuzi wa madini ndio utaalamu
 
Darasa la saba kibao wamekuzidi maisha amini nachokwambia upo mkoa gani nikupe mfano hapo hapo ulipo kwenye hii big five...bongo kutafuta milioni unauma meno unajifanya mpo njema kwani si bongo hatuijui...

Nipo Dar
Nipe mfano
 
Wewe jibu swali acha kuzunguka mbuyu. Yumkini wewe ndiye msukuma mwenyewe

Sijibugi maswali ya watoto wa darasa la saba

Wapi hujaelewa

Unafikiri wasomi tunajibu kila kitu kama watu wasio na akili
 
Mtu anayeelezewa ni darasa la saba Alafu nijihangaishe kumuandikia kisomi ili iwe nini, hayo ni matumizi Mabaya ya usomi

Wao wakiongea na sisi lazima wajikakamue kutoa hoja na lugha zinazokaribia usomi ili tuone nao sio wajinga
Point mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Usipende kuchezea simu ya babako akiwa amelala kuweni na adabu basi.
 
Kama wasomi ndo mpo hivi, sioni ajabu mnavodhalilishwa bungeni.
 
Nipo Dar
Nipe mfano
Kkoo kibao wamekuzidi na darasa la saba tuu hiyo kkoo hayo majengo ya biashara si wakinga na wachaga kuna mtu unamgusa hapo na tuvyeti twako..opposite na bigbon hapo huyo mwenye majengo ya maduka hapo Saba saba ni darasa la saba
 
Kwani kkoo mimi sipo?

Hakuna Dsm mwenye umri kama wangu aliyeishia darasa la saba akanizidi kwenye ishu za kiuchumi

Mimi sifanyi uchuuzi

Hao unawataja hapo hata mtaji wao haufiki 500m

Umasikini wako ndio unaokufanya uwaone wamenizidi na mimi
 
Hari yenu humu!

Bira shaka mpo wazima.

Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.

Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.

Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.

Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.

Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.

Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Hongera msomi usiojua kuandika hali yenu unaandika "hari"
Tunafurahishwa unaandika "tunafulahishwa"
Yaani wewe Msukuma kakupita kwa mbali , rudi shule umesomea tena
 
Hongera msomi usiojua kuandika hali yenu unaandika "hari"
Tunafurahishwa unaandika "tunafulahishwa"
Yaani wewe Msukuma kakupita kwa mbali , rudi shule umesomea tena

Pole sana Mkuu
 
Back
Top Bottom