Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
- #61
Mimi ni msomi,ila wewe huwezi kuwa miongoni mwetu,maana msomi aliekamilika hawezi kuandika mashudu kama haya.
Wewe ni msomi, na hapo ulipo hujui hata matumizi ya R na L kwenye uandishi wako, lakini pia sijaona matumizi sahihi ya alama za uandishi.Kama wewe ndo aina ya wasomi mnaochipukia Tz, basi ni bora tukubaliane na Msukuma.
Watu wanakuuliza umesomea nini,unawajibu kihuni, msomi unatumia maneno kama "huelewi babu",nani babu yako humu?
Tukiachana na hayo yote, wewe hupaswi kubishana na Msukuma, maana pamoja na hizo unazoziita comedy,bado amekuzidi mbali sana wewe mwenye elimu makaratasi.Ukija kwangu,ukanambia wewe ni msomi,alafu huna hela,huna ajira, hujui kujenga hoja, mimi nakuchukulia kama mtu anaelezimisha puru(mknd) wake utafune muwa, wakati sio kazi uliyoumbiwa.
Unamuona Msukuma mjinga wakati,wewe unashonda jF kulalamikia maisha magumu.Sasa hiyo ni elimu au kinyesi tu.
Maisha Magumu kwako mzee
Nimeandika muandiko wao darasa la saba ili waendelee kutoa burudani