Hujajibu maswali yangu? Au yamekushinda kuyajibu?Karibu sana Msukuma, napendaga sana futuhi zako.
Una-management?
Hujajibu maswali yangu? Au yamekushinda kuyajibu?
Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa
Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?
Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
Bado hujayajibu maswali yangu!Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa
Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?
Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
Bado hujayajibu maswali yangu!
Nimekuuliza maswali. Sijakuomba utoe mapovu.
Haya, yajibu basi maswali yangu.
Naona unatokwa mapovu katika matundu yote saba ulonayo mwilini 🤣🤣🤣Nimeshakuambia siulizwagi maswali na darasa la saba, wapi hunielewi Babu!!!
Unachoweza ku-share na mimi ni futuhi, vioja, na vichekesho vyako, sawa Mzee!
Au ndio umeanza kuniletea vioja hapa
😂😂😂😂😂Nimeshakuambia siulizwagi maswali na darasa la saba, wapi hunielewi Babu!!!
Unachoweza ku-share na mimi ni futuhi, vioja, na vichekesho vyako, sawa Mzee!
Au ndio umeanza kuniletea vioja hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]Msomi asiyejua pa kuweka R na L!We nawe ni msomi?
Msomi wa nini wewe?
Tutambuane kisomi mkuu,Ili maada yetu isije kuvamiwa maana hata la saba au form 4, nao ni msomi sikuizi. Wewe unataaluma ya kitu gani,na ni katika level ipi?Hari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.
Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.
Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.
Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.
Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Cheka halafu shangaa![emoji23][emoji23][emoji23]Msomi asiyejua pa kuweka R na L!
Wewe ni msomi wa nini?Hapa sasa ndio tutaenda sawa, hivi vioja vyako ndio unaweza kunifanya nikusikilize.