PreGE2025 Wasomi Vyuo Vikuu waapa kumchagua Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa ajili ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Wamesisitiza kuwa kwa umoja wao, hawatapigia kura chama au vyama visivyo na malengo mahsusi au dira ya kuiongoza na kulivusha taifa kimaendeleo.

Akizungumza na vyombo vya habari leo April 14, 2025 Katibu Mkuu Mtendaji wa TAHLISO Godfrey Gilagu amesema "mpaka sasa sisi viongozi pamoja na wanafunzi wa elimu ya juu hakuna tatizo ambalo linaweza kutuzuia kutokupiga kura na kuweza kumpigia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama mgombea wa nafasi ya Urais"

"Sisi kwa pamoja tumedhamiria na tumeazimia kwamba hakuna namna yoyote ile tunaweza kupiga kura katika vyama ambavyo havina malengo mahususi na dira ambayo inaweza kuvusha taifa letu kwenda mbele" ameongeza Gilagu
Your browser is not able to display this video.
 
Mama hachaguliwi kwa kura zenu bali anatangazwa na Tume hiyo Feki.
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ndipo huwa nasema MSOMI wa kiafrika ni tofauti na msomi wa kizungu!!
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Haya wasomi tumewasikia
 
Embu angalia hivyo vuyo kwenye ranking ya Africa na Dunia ni vyangapi?
 
Hao wanafunzi unawaita wasomi!
Shithole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…