PreGE2025 Wasomi Vyuo Vikuu waapa kumchagua Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi bado tuna wasomi nchi hii!! Yule Palamagamba wa tume ya Warioba na Kitila wa udsm nao ni sehemu ya hao wasomi??
 
Ach
Acha kuwaaibisha wasomi. Hawa ni wajinga wa chuo kikuu sio wasomi wa Chuo Kikuu.

Vyuo Vikuu nchi hii vilimaliza kuzalisha wasomi mwaka 2014. Saivi zinazalishwa takataka na wajinga tu.
 
Hawa wasomi wa nchi hii??ambao wameshindwa kabisa hata solutions ndogo ya kuongoza mwendo kasi?
Watu wa majalalani?wavizia teuzi na wapambania posho??
Utawatofautisha vp na wachawi ktk nchi ya kusadikika???
 
Wasomi au wasomi wa ccm?
 
Hakuna wasomi hapo hao ni wpuz tu
Na kama nchi ndiyo mnawaita hao wasomi aise basi kuna shida kubwa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…