Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

Kuna ukweli hapo.kuna dogo namjua kabisa akili take ya kuunga unga.
Leo anasoma chuo Udsm.
Nimeshangaa Sana.
Nilikuwa siamini Kama kuna shule zinanunua matokeo Ila Sasa nimeanza kuamini
 
Kuna wanafunzi walikuwa wanasoma degree ya IT.....walipokuwa field hawajui chochote kuhusu computer yaani ni aibu kwa Taifa sijui huko chuo wanasomaga Nini?poleni Sana wasomi wetu wa ubongo fleva.
 
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
Wewe ulitumbuliwa kwa sababu ya cheti feki,huna lolote.Kwa hiyo tufute shule na vyuo vyote havina maana,eh....!Ungesema kuna haja ya kuboresha mfumo wetu wa elimu ningekuelewa.
 
ahahahhahahahaha poleee
 
Uliwaelekeza wakatoka na ujuzi uluonao kwenye Ms word na Excel
Au ndo na ww uliwaacha wapambana na hali zao
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
[/QUOTE]
 
Unajitetea !? Kutojua kutumia computer kwa msomi was level ya elimu ya juu Ni AIBU Tena ya faa kuzomewa
hahaha, mi najijua tena vizuri tu,, ila pia kuamini kwamba usomi ni kujua computer iyo nayo inatakiwa kuzomewa.. likiisha la computer tutahamia kwamba msomi kutojua kiingereza inatakiwa kuzomewa... soma tena hapo juu, nilisema kujua ni vema ila kutojua sio dhambi pia.. watu wamesoma education wanaenda fundisha huko kijijini, mitoto inaelewa na mwalimu hajui computer,, SO SIO DHAMBI
 
Cheki utetezi😂😂😂 mwambie unajua kutumia simu basi hayo mengine hayakuhusu
Ndio shida ya watu.. mnapenda kuona comment mnazozipenda, na sio maoini au mawazo ya mtoa comment.. yaan hampendi dadavua hoja, PRAISE AND WORSHIP
 
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.

duh
 
Back
Top Bottom