mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ndio wale waleMouth tena!!
Hii nchi nahama.
Ndio wale waleMouth tena!!
Hii nchi nahama.
Itachua muda kujua ulivyokurupukaNdio wale wale
Tuliza mzuka kijana...unasemaje?Itachua muda kujua ulivyokurupuka
Kwahyo wewe kujua computer ndio unahs unajua kila kitu?wewe unajua nini
Wewe ulitumbuliwa kwa sababu ya cheti feki,huna lolote.Kwa hiyo tufute shule na vyuo vyote havina maana,eh....!Ungesema kuna haja ya kuboresha mfumo wetu wa elimu ningekuelewa.Habarini wana JF,
Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.
Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.
Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.
Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua
Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.
kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana
Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?
Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
Unanipa pole kwa lipi?ahahahhahahahaha poleee
hahaha, mi najijua tena vizuri tu,, ila pia kuamini kwamba usomi ni kujua computer iyo nayo inatakiwa kuzomewa.. likiisha la computer tutahamia kwamba msomi kutojua kiingereza inatakiwa kuzomewa... soma tena hapo juu, nilisema kujua ni vema ila kutojua sio dhambi pia.. watu wamesoma education wanaenda fundisha huko kijijini, mitoto inaelewa na mwalimu hajui computer,, SO SIO DHAMBIUnajitetea !? Kutojua kutumia computer kwa msomi was level ya elimu ya juu Ni AIBU Tena ya faa kuzomewa
Ndio shida ya watu.. mnapenda kuona comment mnazozipenda, na sio maoini au mawazo ya mtoa comment.. yaan hampendi dadavua hoja, PRAISE AND WORSHIPCheki utetezi😂😂😂 mwambie unajua kutumia simu basi hayo mengine hayakuhusu
Habarini wana JF,