Wasomi wa kitanzania wanashindwa kwenda nje ya nchi kutafuta fursa mbalimbali kwasababu ya hivi vitu viwili(TOEFL na IELTS)

Rafiki yangu hakuna kitu cha bure duniani na hakuna atakeyekuja kukubeba na kukupeleka katika mafanikio. Kuhusu hio Toefl imewekwa hivyo ili wachahche wenye uwezo wafike huko nje. Kuna watu wamefanya kazi na wakaonekana wanajua kazi wakalipiwa hio mitihani na NGO. Komaa na ujilipie wewe mwenyewe hayo ndo maisha ukisema usubiri utakuta mwana si wako. Usipoangalia utakuja kusema huku serikali inabidi ikulipie na nauli ya ndege kwenda abroad. Wakenya wanasurvive na kufanya mambo makubwa huku nje kwa sababu ya mazingira yao. CCM inabidi iongeze shida kidogo ili watanzania tuwe na akili kama za wakenya aisee.
 
Nimekuta bodaboda kakoswakoswa na Lori maeneo ya TOT kala mwereka Nusu apasuliwe fuvu na hio ndio ajira pekee iliyobakia ROHO mkononi
 
IELTS-Hii huduma hutolewa na British Council iliyopo chini ya Serikali ya Uingereza kupitia Balozi zake zilizopo ktk nchi mbalimbali hapa duniani.
TOEFL-Hii huduma ipo chini ya Serikali ya Marekani, nayo hutolewa na Mawakala wake ambao unaratibiwa kwa karibu sana na Ofisi za Ubalozi za nchi hiyo.
TOEFL na IELTS Certificates ziahitajika zaidi kwa malengo ya Ufadhili na Udahili ktk vyuo vikuu vya huko nje ambavyo hutumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia. Vipo baadhi ya vyuo vichache ambavyo havihitaji vyeti vya IELTS au TOEFL.
Ili kuepuka changamoto ya kutakiwa kuwasilisha cheti cha IELTS au TOEFL kwa wahitajil kutoka hapa Tz, Serikali inapaswa kukifanya Kiingereza kuwa ni Lugha ya kufundishia na kujifunzia ktk mfumo wote wa elimu hapa nchini kuanzia madarasa ya Chekechea hadi Vyuo Vikuu. Kiswahili kiwe ni somo tu linalojitegemea.
Aidha Vyeti vya IELTS na TOEFL uhai wake ni miaka miwili tu ( sijui kama utaratibu huu umebadilika kwa sasa), ili kuepuka kufanya mitihani ya kozi hiZo kila baada ya miaka 2, nawashauri Watanzania kusoma Kozi ya Kiingereza ya Level ya juu (Advanced English Course, angalau kwa Level ya C1) ili upate cheti ambacho kinatambulika duniani kote, na cheti hiki utakitumia ktk maisha yako yote mpaka kifo.
 
Kwanza mwenyewe unajuta kuzaliwa tanzania alafu unataka watu wakusikilize na kukuelewa ????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bas nenda kawashauri uko ulipotaka uzaliwe aaisee
 
Kwanini unadai mazingira bora scholarship badala ya kudai vyuo vilete wanataaluma toka nje ili hata watoto wa masikini wasioweza kwenda nje wapate elimu hiyo inayopatikana nje?
 

Sahihi kabisa kwa wale wataka kwenda kwa lengo la kusoma.. lazima upate certification ya English proficiency.
 


Ukiwa na hela u can go to any country kusoma, tatizo ni hela tu, hakuna kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…