Wasomi wa Malawi waandika Kitabu kumhusu Magufuli

Wasomi wa Malawi waandika Kitabu kumhusu Magufuli

Mimi siyo msomi lkn hata km ningekuwa siwezi kufanya upuuzi wa namna hiyo.
Ktk safari yangu ya kimaisha nina mashujaa ambao walikuwa watu wangu wa karibu (ndugu) walinifanyia mengi lkn sijawahi kuandika hata ukurasa mmoja kuwahusu wao ndo aje kuwa mtu asiye kuwa na undugu na mimi hata chembe!
Kweli kabisa MNAFIKI ni mbaya zaidi ya MCHAWI.....

Elimu hupatikana VITABUNI....
 
Mzee wetu, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi aliweza sema kwa uhakika na bila kumumunya.
Alisema haya wakati wa msiba Chato....na nitamnukuu

"...Nilipata matatizo sana ya fikra, utadhani Kijana hafi...."

"...Miongoni ya mambo aliyotuachia:Jambo la kwanza, nalo ni kubwa ni pale alipofanya kijana huyu, alipoamua kutekeleza maagizo ya Baba wetu wa Taifa Marehemu Mzee Nyerere..."

'...amewaza na kuamua tuhamie Dodoma, nakutekeleza hilo kwa miaka miwili, jambo ambalo sisi wengine tulichukua miaka arobaini, bado hatujatekeleza, amefanya jambo kubwa sana!..."

"...sio hilo tu, ndugu yetu huyu amefanya mambo mengi sana yenye maslahi....Tanzania..."
[emoji7][emoji7]
 
Wasomi na viongozi wa Tanzania wakati wao wakichagua kukaa kimya juu ya mambo mengi mazuri ya JPM yanayohusu uongozi wake, wakati wao wakiruhusu watu wajinga kuendelea kuuchafua uongozi wake, wasomi wa nchi Jirani ya Malawi, wao wameonyesha kwamba, wasomi wa Tanzania ni watu wanafiki na ambao wamekumbatia ufisadi pamoja na kujipendekeza kwa watawala ili kulinda mkate wao

Kila kizuri alichonacho mtu, iwapo atakitumia kwa uaminifu kwa ajili ya wengine, hubaki kumbukumbu kwa walioguswa na hicho, na kitu kizuri alichonacho mtu kuihusu jamii, huwa vigumu sana kwa jamii yake iliyomzunguka kukiona uthamani wake, japokuwa haikuwa hivyo kwa JPM, aliendelea kugusa maisha ya wengi sana nchini na kuzidi sana kuaminiwa saana na jamii aliyokuwa akiiongoza kwamba, sasa tunamtetezi wa dhati na asiyona haya kuwatetea popote pale awapo!

Wakati jamii yake ikiona hivyo na kujivunia kwa uongozi wake makini, sifa zake tayari zilivuka mipaka, na sasa tunaanza kuona jinsi ambavyo haikuwa jamii tu ya watanzania walioguswa na uongozi wa hayati Magufuli, Malawi pia kwa namna yao waliguswa na uongozi wake na hata sasa wasomi nguli wa nchi hiyo wameandika kitabu kinachoeleza umahili wa uongozi wa JPM katika kushughurikia matatizo na kero sugu za wananchi

Sifa za mwanaume na ama kiongozi yeyote zisipovuka mipaka kwa utendaji wake bora na kuwa kielelezo cha watu wengine, itoshe kusema kwamba, huyo ni kiongozi ambaye hana ushawishi wowote nje na jamii yake anayoiongoza na ndiyo hao hata wakifa, siku hiyo hiyo watu wanasahau kama naye alikuwepo katika ulingo wa kisiasa!

Sifa za kiongozi yeyote Duniani, ili awe maarufu na wa kuigwa katika kuifikia jamii na Dunia kwa ujumla, shariti asiwe mbinafsi, ni sharti aonyeshe uwezo wake wa jinsi yeye yuko sahihi na smart katika kushughurikia kero za watu wake na hatimaye Watu na viongozi wengine waige namna yake ya anavyotatua na kushughurikia matatizo ya watu wake tena bila hofu yoyote

Huyo ndo alikuwa JPM!

Kunakipindi kitafika ambapo ninauhakika kwamba, watu wataulizwa kutaja Maraisi waliowahi kuiongoza Tanzania, kunahatari ya kutajwa Maraisi wawili

Hii ni kwa sababu ya mambo makubwa waliyowahi kuyafanya nayo yakawa alama ya kudumu

Staki maswali mengi kuwahusu wasomi wa Malawi walioona kitu ndani ya uongozi wa Magufuli hadi wao wakaona anastahili awekwe kwenye kumbukumbu ya kitabu ili Africa na Dunia Wajuwe kwamba hata Africa wenye akili kubwa wapo!
Comments reserved
 
Hakuna mtu anayeweza kumzungumzia vizuri JPM zaidi ya waTanzania wenyewe. Huyo Mmalawi anasoma tu magazeti na kusikiliza hotuba ndio anaandika ila hajaishi kabisa Tanzania so haelewi tuliyopitia kama nchi.

Mtu aliua uchumi, Aliua sekta binafsi, alikataa kuajiri, Aliua demokrasia, aliliweka bunge mfukoni, bajeti za maendeleo hazijawahi kutekelezwa hata kwa 70% mpaka anafariki. Alichojifichia ni miundombinu ambayo mingi alijenga kwa mikopo na kutuachia matrillion ya riba!!

So huyo msomi is irrelevant maana Hana facts kuliko waTanzania.
Du! Kweli kuna nanga nyingi bongo!
 
Kwa Mara nyingine Tena Kada ya wasomi Tanzania imetaja msukosuko na kuirank elimu yetu katika namna ya kugawana maswali ya kitaifa, watanzania na mustakabali elimu yetu kwa maswala ya kitaifa na maslahi ya nchi ,elimu yetu ni ya kukariri notes na kupika majungu kwa Sana,ona Sasa Kada ya wasomi wa nchi mdogo Kama Malawi wamenitanabaisha na kuiambia dunia Nini Africa inavyoonekana. Taifa la jirani Tanzania paliondokea kuwa na kiongozi mahiri Sana Kama magufuliiiiiiiiiiiiiiiii, Sasa sisi tukiandika vitabu vyetu ni toooo biased,Wala huwezi Michigan maarifa humo,wasomi wa Malawi wameanza kuchukua credits katika medani ya kimataifa dhidi ya wasomi wa kitanzania waliochagua kunyamaza na kutengeneza Vicente vya kupika majungu na unafiki dhidi ya magufuli,tafsiri yake Nini ? Elimu yetu na wasomi wetu ni kutokuaminika na kuthaminika nje ya mipaka ya Tanzania kwa uandishi usiokuwa Makini, Kama ulioooneshwa na wasomi wetu ambao tumewapa sifa ya kuwa ni waandishj nguli! Uandishi ni biased na sisi wats tumeuona huo ndo uandishi mzuri Hadi tukawatunukia credit ya nguli. Lakini Malawi wao wamekuja well balanced story juu ya mtu huyo huyo magufuli,.ukifanya ulinganifu huo wa nguli wa Malawi na Tanzania .automatically wa Malawi ataonekana kuchukua credit kuliko wa tz.sasa litakalokuja Shaka la my grade product ya mifumo mizuri ya elimu Kati nchi hizi mbili,Tanzania inarudi chini .Tanzania darasa lenye watahiniwa 61 milion na Malawi darasa lenye watahiniwa 5milion .darasa lenye 5million Lina best performers kuliko darasa lenye 61 milion ya wanafunzi limeshehenj poor perfomers,Kama Kuna taasisi ya kimataifa inatafuta best perfomers,automatically uteuzi utaenda Malawi kwakuwa wamesha pave the way huko nyuma kwa Mambo mengi ,kwa hiyo ushauri wangu wats mnao taka kujipambanua kiuandishi elewa kuwa unabeba image kubwa ya mfumo was elimu wa nchi husika.sasa uandishi wale nguli wanna wa kitanzania unabeba pia sura ya matunda ya mfumo was elimu ya Tanzania kuwa ni weak au strong.a biased story how can it be rated?
S
 
Hakuna mtu anayeweza kumzungumzia vizuri JPM zaidi ya waTanzania wenyewe. Huyo Mmalawi anasoma tu magazeti na kusikiliza hotuba ndio anaandika ila hajaishi kabisa Tanzania so haelewi tuliyopitia kama nchi.

Mtu aliua uchumi, Aliua sekta binafsi, alikataa kuajiri, Aliua demokrasia, aliliweka bunge mfukoni, bajeti za maendeleo hazijawahi kutekelezwa hata kwa 70% mpaka anafariki. Alichojifichia ni miundombinu ambayo mingi alijenga kwa mikopo na kutuachia matrillion ya riba!!

So huyo msomi is irrelevant maana Hana facts kuliko waTanzania.
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Hao wanyasa hawaujui uovu wa hilo jambazi la kihutu.
 
Wame muandika na kumuumbua kwenye kitabu cha 'I am the state'
 
Mzee wetu, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi aliweza sema kwa uhakika na bila kumumunya.
Alisema haya wakati wa msiba Chato....na nitamnukuu

"...Nilipata matatizo sana ya fikra, utadhani Kijana hafi...."

"...Miongoni ya mambo aliyotuachia:Jambo la kwanza, nalo ni kubwa ni pale alipofanya kijana huyu, alipoamua kutekeleza maagizo ya Baba wetu wa Taifa Marehemu Mzee Nyerere..."

'...amewaza na kuamua tuhamie Dodoma, nakutekeleza hilo kwa miaka miwili, jambo ambalo sisi wengine tulichukua miaka arobaini, bado hatujatekeleza, amefanya jambo kubwa sana!..."

"...sio hilo tu, ndugu yetu huyu amefanya mambo mengi sana yenye maslahi....Tanzania..."
👍🙏✍️
 
Huwezi lazimisha watu wasifie kama hamna!! Kama ni makusanyo mbona Samia kamzidi JPM ilihali humu mlisema watu watakwepa Kodi maana mama ni dhaifu.

Kama ni bajeti imekua mara dufu kuliko JPM. Kama ni miradi mikubwa Bado inaendelezwa hakuna uliosimama, kama ni ajira Mama Samia ametoa ajira nyingi ndani ya miaka 2 kuliko miaka 6 ya JPM!! Sasa what was so special kwa JPM?
upo TZ kwel au unaunafiki? au jamaa aliharibu maslahi yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna wajinga wajinga fulani humu,ngoja waje na uharo wao wa vyeti fake uwasikie!

Wajinga wajinga kama wabunge wa vijiweni wa chadomo wanaoendekeza propaganda za visasi kama majuha,as if ni lazima wao kuwa bungeni.
Juha ni wewe unayesifia wanaume wenzio.utaolewa
 
Hakuna mtu anayeweza kumzungumzia vizuri JPM zaidi ya waTanzania wenyewe. Huyo Mmalawi anasoma tu magazeti na kusikiliza hotuba ndio anaandika ila hajaishi kabisa Tanzania so haelewi tuliyopitia kama nchi.

Mtu aliua uchumi, Aliua sekta binafsi, alikataa kuajiri, Aliua demokrasia, aliliweka bunge mfukoni, bajeti za maendeleo hazijawahi kutekelezwa hata kwa 70% mpaka anafariki. Alichojifichia ni miundombinu ambayo mingi alijenga kwa mikopo na kutuachia matrillion ya riba!!

So huyo msomi is irrelevant maana Hana facts kuliko waTanzania.
Wewe uliyashuhudia? Tofauti yako na hao wasomi wa malawi ipo wapi? Unataka kila kiongozi afanye upendavyo? Huo ni ubinafsi uliokithiri.
Jifunze kupongeza vitu vizuri binadamu wenzio wakivifanya na jifunze kukosoa bila kunajisi utu wa wenzio waliokosea.
 
Hakuna mtu anayeweza kumzungumzia vizuri JPM zaidi ya waTanzania wenyewe. Huyo Mmalawi anasoma tu magazeti na kusikiliza hotuba ndio anaandika ila hajaishi kabisa Tanzania so haelewi tuliyopitia kama nchi.

Mtu aliua uchumi, Aliua sekta binafsi, alikataa kuajiri, Aliua demokrasia, aliliweka bunge mfukoni, bajeti za maendeleo hazijawahi kutekelezwa hata kwa 70% mpaka anafariki. Alichojifichia ni miundombinu ambayo mingi alijenga kwa mikopo na kutuachia matrillion ya riba!!

So huyo msomi is irrelevant maana Hana facts kuliko waTanzania.
Kataa wivu ongeza wigo wa kuwakubali waliokuzidi na Mungu atakubariki
 
Malawi? Bora hata ungesema S.A ingeingia akilini, hao ni waganga njaa wameona ukilaza wa wamalawi wenzao wameamua kuwapiga pesa. Malawi ni nchi masikini ya kutupa waowameshindwa kujisimamia leo wayaone yetu.
 
Tanzania siyo waganga njaa?
 
Huwezi lazimisha watu wasifie kama hamna!! Kama ni makusanyo mbona Samia kamzidi JPM ilihali humu mlisema watu watakwepa Kodi maana mama ni dhaifu.

Kama ni bajeti imekua mara dufu kuliko JPM. Kama ni miradi mikubwa Bado inaendelezwa hakuna uliosimama, kama ni ajira Mama Samia ametoa ajira nyingi ndani ya miaka 2 kuliko miaka 6 ya JPM!! Sasa what was so special kwa JPM?
He was a PATRIOT! Huwezi kumfananisha na Hawa sasa wsmechangamka Kuwauzia Waarabu maliasili yetu!
Samia is signing contracts with the Arabs from UAE without understanding the ramifications of those contracts to the long term wellbeing of the country!!
Understanding the content of the contracts is of prime importance.
 
Back
Top Bottom