Wasomi wa Malawi waandika Kitabu kumhusu Magufuli

Kweli kabisa MNAFIKI ni mbaya zaidi ya MCHAWI.....

Elimu hupatikana VITABUNI....
 
[emoji7][emoji7]
 
Comments reserved
 
Du! Kweli kuna nanga nyingi bongo!
 
Kwa Mara nyingine Tena Kada ya wasomi Tanzania imetaja msukosuko na kuirank elimu yetu katika namna ya kugawana maswali ya kitaifa, watanzania na mustakabali elimu yetu kwa maswala ya kitaifa na maslahi ya nchi ,elimu yetu ni ya kukariri notes na kupika majungu kwa Sana,ona Sasa Kada ya wasomi wa nchi mdogo Kama Malawi wamenitanabaisha na kuiambia dunia Nini Africa inavyoonekana. Taifa la jirani Tanzania paliondokea kuwa na kiongozi mahiri Sana Kama magufuliiiiiiiiiiiiiiiii, Sasa sisi tukiandika vitabu vyetu ni toooo biased,Wala huwezi Michigan maarifa humo,wasomi wa Malawi wameanza kuchukua credits katika medani ya kimataifa dhidi ya wasomi wa kitanzania waliochagua kunyamaza na kutengeneza Vicente vya kupika majungu na unafiki dhidi ya magufuli,tafsiri yake Nini ? Elimu yetu na wasomi wetu ni kutokuaminika na kuthaminika nje ya mipaka ya Tanzania kwa uandishi usiokuwa Makini, Kama ulioooneshwa na wasomi wetu ambao tumewapa sifa ya kuwa ni waandishj nguli! Uandishi ni biased na sisi wats tumeuona huo ndo uandishi mzuri Hadi tukawatunukia credit ya nguli. Lakini Malawi wao wamekuja well balanced story juu ya mtu huyo huyo magufuli,.ukifanya ulinganifu huo wa nguli wa Malawi na Tanzania .automatically wa Malawi ataonekana kuchukua credit kuliko wa tz.sasa litakalokuja Shaka la my grade product ya mifumo mizuri ya elimu Kati nchi hizi mbili,Tanzania inarudi chini .Tanzania darasa lenye watahiniwa 61 milion na Malawi darasa lenye watahiniwa 5milion .darasa lenye 5million Lina best performers kuliko darasa lenye 61 milion ya wanafunzi limeshehenj poor perfomers,Kama Kuna taasisi ya kimataifa inatafuta best perfomers,automatically uteuzi utaenda Malawi kwakuwa wamesha pave the way huko nyuma kwa Mambo mengi ,kwa hiyo ushauri wangu wats mnao taka kujipambanua kiuandishi elewa kuwa unabeba image kubwa ya mfumo was elimu wa nchi husika.sasa uandishi wale nguli wanna wa kitanzania unabeba pia sura ya matunda ya mfumo was elimu ya Tanzania kuwa ni weak au strong.a biased story how can it be rated?
S
 
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Hao wanyasa hawaujui uovu wa hilo jambazi la kihutu.
 
Wame muandika na kumuumbua kwenye kitabu cha 'I am the state'
 
👍🙏✍️
 
upo TZ kwel au unaunafiki? au jamaa aliharibu maslahi yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna wajinga wajinga fulani humu,ngoja waje na uharo wao wa vyeti fake uwasikie!

Wajinga wajinga kama wabunge wa vijiweni wa chadomo wanaoendekeza propaganda za visasi kama majuha,as if ni lazima wao kuwa bungeni.
Juha ni wewe unayesifia wanaume wenzio.utaolewa
 
Wewe uliyashuhudia? Tofauti yako na hao wasomi wa malawi ipo wapi? Unataka kila kiongozi afanye upendavyo? Huo ni ubinafsi uliokithiri.
Jifunze kupongeza vitu vizuri binadamu wenzio wakivifanya na jifunze kukosoa bila kunajisi utu wa wenzio waliokosea.
 
Kataa wivu ongeza wigo wa kuwakubali waliokuzidi na Mungu atakubariki
 
Malawi? Bora hata ungesema S.A ingeingia akilini, hao ni waganga njaa wameona ukilaza wa wamalawi wenzao wameamua kuwapiga pesa. Malawi ni nchi masikini ya kutupa waowameshindwa kujisimamia leo wayaone yetu.
 
Malawi? Bora hata ungesema S.A ingeingia akilini, hao ni waganga njaa wameona ukilaza wa wamalawi wenzao wameamua kuwapiga pesa. Malawi ni nchi masikini ya kutupa waowameshindwa kujisimamia leo wayaone yetu.
Tanzania siyo waganga njaa?
 
He was a PATRIOT! Huwezi kumfananisha na Hawa sasa wsmechangamka Kuwauzia Waarabu maliasili yetu!
Samia is signing contracts with the Arabs from UAE without understanding the ramifications of those contracts to the long term wellbeing of the country!!
Understanding the content of the contracts is of prime importance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…