Rwetembula Hassan Jumah Senior Member Joined Jan 25, 2023 Posts 140 Reaction score 188 Apr 18, 2023 #1 Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira. Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔. Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko kuwa na elimu iliyokosa akili.
Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira. Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔. Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko kuwa na elimu iliyokosa akili.
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Apr 18, 2023 #2 Member wapya mna Nini mbona huko sisi tulishatoka.