Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 May 18, 2026 #1 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati. ◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote wawaibua wasomi ◇Ni kuhusu mradi kusafisha mafuta ghafi wa zaidi ya Sh trin 40. ◇Wakoshwa na Rais, wataja sababu 5 kwanini Tanga ipo kimkakati. ◇Ipo ya miundombinu ya EACOP, Jografia, soko Kusini mwa Afrika
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 May 18, 2026 #2 Kama lengo ni soko la Kusini, kwanini mtambo usijengwe Mtwara au Lindi ambako tayari kuna bandari na ipo jirani zaidi na nchi hizo?
Kama lengo ni soko la Kusini, kwanini mtambo usijengwe Mtwara au Lindi ambako tayari kuna bandari na ipo jirani zaidi na nchi hizo?