Habari wadau.
Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO.
Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo.
Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho akiwa na umri wa miaka 21.
Mkewe Recho alikuwa mwaka wa 1 akisoma degree yake ya Education katika chuo kikuu cha Jomo kenyatta wakati anafunga ndoa na Ruto
Katika ndoa yao wamebarikiwa kupata watoto 7.
Najiuliza why ndoa hizi za umri mdogo sizioni kwa wasomi wa zama hizi?
Kwa nilichojifunza heshima ya wanawake wa zamani ilikuwa juu sana na ndio maana ndoa zao zinadumu sana na kupata mafanikio.
Mke wa ruto ni huwa haongei baada ya mumewe kuongea unless mumewe amwambie sema ,,
Msemo wake mkubwa ni
"My husband has spoken and according to the traditions of the Kalenjin, a woman should not speak after her husband speaks,"