Wassira apewa hadhi ya Rais bungeni

Ila kiwafanyiwa scrabing week tatu.....mheshimiwa ni handsome
 

Attachments

  • images.jpg
    6.1 KB · Views: 179
Hicho kibabu ..chenye miaka 70 ...apate urais ..ili aondoke na mkongojooo????

Hadhi ya Rais ni kutoa Vote of Thanks au yeye Kupewa Vote of thanks ?

Acheni
Dr. Slaa ana miaka 67, na mwaka kesho anagombea urais akiwa na miaka 68. Where is the difference.
Au akinya kuku sawa;lakini akinya bata kaharisha?
 
Kwani muonekano wa sura ya mh wasira unahusiana na utendaji wake wa kazi? mbona yupo mpaka mapouda madarakani lakini watu wanalia?
 
Dr. Slaa ana miaka 67, na mwaka kesho anagombea urais akiwa na miaka 68. Where is the difference.
Au akinya kuku sawa;lakini akinya bata kaharisha?

Acha Vichekeshoo....Sasa unalinganisha ccm na vyama Vya upinzani hususani Chadema ambayo kwanza Ndio wanaandaa VIONGOZI vijana Leo ....Chadema itaanza kuwa na utajiri wa WAGOMBEA wa kuandaa wenyewe kuanzia uchaguzi wa 2020.

Ccm Ina utajiri mkubwa wa VIONGOZI wenye sifa ambao wameandaliwa toka Enzi Za Mwalimu ....Sasa huoni ni kichekesho kumtumia ..Mzee Wassira (70 )

Au hukumuelewa Nyerere aliposema tishio la ccm lipo kwenye kumeguka.....yaani kwa mwamko uliopo wapinzani wakipata mgombea mzuri wa urais hasa toka ccm ..watashinda .
 
Kwanza nashukuru kwa kutambua Rais atatoka CCM
Pili hakuna kiongozi katika vyama vya upinzani anayeweza kuwa Rais
Tatu Hazina ya viongozi iko CCM tangu enzi za Mwalimu, na miongoni mwa wanafunzi wake ambao Mwalimu aliamua kuwasomesha ili wasaidie Nchi hii ni Stephen Masato Wassira.
 

Waliosomeshwa ..na kukuzwa Personally na Mwalimu ni wengi ..tena wenye umri unaruhusu...sio Wassira Peke yake.....

Obvious Rais atatoka ccm ...mipango ya ndani kabisa ya Wapinzani ni ya 2020 ......lengo Lao Sasa ni kuongeza Idadi tu ..ya wabunge ...hata Hivyo ikitokea Kiongozi Mkubwa akajitoa ccm ...lolote linaweza kutokea
 
Kutoka maktaba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…