Panga La Shaba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2009
- 209
- 68
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waasira akiwa Rais naihama Bongo, siwezi kuongozwa na Nyara ya Serikali.
Kwahiyo wewe unadhani ni nani huyo?Hii sio sura yake ya ualisia au three sixty
We kijana acha mzaha basi.Hahahahahaaaa hapo kweli mapoooooouda yalimkolea mkuu mixer editing ya kutosha ENZI ZA UJANA WAKE.
Dr. Slaa ana miaka 67, na mwaka kesho anagombea urais akiwa na miaka 68. Where is the difference.Hicho kibabu ..chenye miaka 70 ...apate urais ..ili aondoke na mkongojooo????
Hadhi ya Rais ni kutoa Vote of Thanks au yeye Kupewa Vote of thanks ?
Acheni
Ila kiwafanyiwa scrabing week tatu.....mheshimiwa ni handsome
La itakuwa balaaa.....
Kwahiyo wewe unadhani ni nani huyo?
Waasira akiwa Rais naihama Bongo, siwezi kuongozwa na Nyara ya Serikali.
Dr. Slaa ana miaka 67, na mwaka kesho anagombea urais akiwa na miaka 68. Where is the difference.
Au akinya kuku sawa;lakini akinya bata kaharisha?
Kwanza nashukuru kwa kutambua Rais atatoka CCMAcha Vichekeshoo....Sasa unalinganisha ccm na vyama Vya upinzani hususani Chadema ambayo kwanza Ndio wanaandaa VIONGOZI vijana Leo ....Chadema itaanza kuwa na utajiri wa WAGOMBEA wa kuandaa wenyewe kuanzia uchaguzi wa 2020.
Ccm Ina utajiri mkubwa wa VIONGOZI wenye sifa ambao wameandaliwa toka Enzi Za Mwalimu ....Sasa huoni ni kichekesho kumtumia ..Mzee Wassira (70 )
Au hukumuelewa Nyerere aliposema tishio la ccm lipo kwenye kumeguka.....yaani kwa mwamko uliopo wapinzani wakipata mgombea mzuri wa urais hasa toka ccm ..watashinda .
Kwanza nashukuru kwa kutambua Rais atatoka CCM
Pili hakuna kiongozi katika vyama vya upinzani anayeweza kuwa Rais
Tatu Hazina ya viongozi iko CCM tangu enzi za Mwalimu, na miongoni mwa wanafunzi wake ambao Mwalimu aliamua kuwasomesha ili wasaidie Nchi hii ni Stephen Masato Wassira.
Kutoka maktaba!Katika hali ya Shangwe na furaha leo baada ya upigaji kura kukamilika, Mwenyekiti wa Bunge la katiba aliwakaribisha wajumbe mbalimbali kwaajili ya kutoa shukrani na kuhitimisha, Ilipofika zamu ya Steven Wassira kundi la wabunge lilipuka kwa shangwe na nderemo kwa sauti "Rais, Rais ,Rais,!!!!!!!!"
Baadhi ya watu waliolisikia hilo wametoa maoni yao kuwa hiyo ni ishara njema ya kukubalika miongoni mwa wabunge hao, na ishara njema kwake.
Baada ya kupewa nafasi hiyo, Wassira alitililika kwa ufasaha, akionyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa, huku akishangiliwa kupita kiasi na bunge zima.
Katika maneno yake yaliyojaa Hekima na Busara,Wassira kaitendea haki hadhi aliyopewa hapo bungeni leo.
Wengine waliochangia vizuri na kwa utulivu ni Hamadi Rashidi, John Shibuda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mbunge wa Kishapu,Serukamba,Kingunge Ngombali Mwiru na wengine wengi.
Nyota njema huonekana asubuhi.