Wassira apewa hadhi ya Rais bungeni

Wassira apewa hadhi ya Rais bungeni

Uchaguzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
914
Reaction score
171
Katika hali ya Shangwe na furaha leo baada ya upigaji kura kukamilika, Mwenyekiti wa Bunge la katiba aliwakaribisha wajumbe mbalimbali kwaajili ya kutoa shukrani na kuhitimisha, Ilipofika zamu ya Steven Wassira kundi la wabunge lilipuka kwa shangwe na nderemo kwa sauti "Rais, Rais ,Rais,!!!!!!!!"
Baadhi ya watu waliolisikia hilo wametoa maoni yao kuwa hiyo ni ishara njema ya kukubalika miongoni mwa wabunge hao, na ishara njema kwake.

Baada ya kupewa nafasi hiyo, Wassira alitililika kwa ufasaha, akionyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa, huku akishangiliwa kupita kiasi na bunge zima.
Katika maneno yake yaliyojaa Hekima na Busara,Wassira kaitendea haki hadhi aliyopewa hapo bungeni leo.

Wengine waliochangia vizuri na kwa utulivu ni Hamadi Rashidi, John Shibuda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mbunge wa Kishapu,Serukamba,Kingunge Ngombali Mwiru na wengine wengi.

Nyota njema huonekana asubuhi.
 
Kwa nini Lowasa hakupewa nafasi? Makonda yeye anamtaka Pinda!
 
Huyo Wasira akiwa rais anaweza kuhutubia UN kweli? Hiyo sura yake itawafanya wazungu wapige mayowe wakidhani wamevamiwa!
 
10514604_1965575820250150_8551446801066477138_n.jpg

KWA URAIS JAMANI SIO SIRI PROF. ANNA TIBAIJUKA ANATOSHA 2015 NA NAUHAKIKA ATATUONDOLEA UMASIKINI TANZANIA
Hebu acha utani! Huoni huyo mama ni muathirika?
 
Katika hali ya Shangwe na furaha leo baada ya upigaji kura kukamilika, Mwenyekiti wa Bunge la katiba aliwakaribisha wajumbe mbalimbali kwaajili ya kutoa shukrani na kuhitimisha, Ilipofika zamu ya Steven Wassira kundi la wabunge lilipuka kwa shangwe na nderemo kwa sauti "Rais, Rais ,Rais,!!!!!!!!"
Baadhi ya watu waliolisikia hilo wametoa maoni yao kuwa hiyo ni ishara njema ya kukubalika miongoni mwa wabunge hao, na ishara njema kwake.

Baada ya kupewa nafasi hiyo, Wassira alitililika kwa ufasaha, akionyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa, huku akishangiliwa kupita kiasi na bunge zima.
Katika maneno yake yaliyojaa Hekima na Busara,Wassira kaitendea haki hadhi aliyopewa hapo bungeni leo.

Wengine waliochangia vizuri na kwa utulivu ni Hamadi Rashidi, John Shibuda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mbunge wa Kishapu,Serukamba,Kingunge Ngombali Mwiru na wengine wengi.

Nyota njema huonekana asubuhi.

Hicho kibabu ..chenye miaka 70 ...apate urais ..ili aondoke na mkongojooo????

Hadhi ya Rais ni kutoa Vote of Thanks au yeye Kupewa Vote of thanks ?

Acheni
 
Katika hali ya Shangwe na furaha leo baada ya upigaji kura kukamilika, Mwenyekiti wa Bunge la katiba aliwakaribisha wajumbe mbalimbali kwaajili ya kutoa shukrani na kuhitimisha, Ilipofika zamu ya Steven Wassira kundi la wabunge lilipuka kwa shangwe na nderemo kwa sauti "Rais, Rais ,Rais,!!!!!!!!"
Baadhi ya watu waliolisikia hilo wametoa maoni yao kuwa hiyo ni ishara njema ya kukubalika miongoni mwa wabunge hao, na ishara njema kwake.

Baada ya kupewa nafasi hiyo, Wassira alitililika kwa ufasaha, akionyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa, huku akishangiliwa kupita kiasi na bunge zima.
Katika maneno yake yaliyojaa Hekima na Busara,Wassira kaitendea haki hadhi aliyopewa hapo bungeni leo.

Wengine waliochangia vizuri na kwa utulivu ni Hamadi Rashidi, John Shibuda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mbunge wa Kishapu,Serukamba,Kingunge Ngombali Mwiru na wengine wengi.

Nyota njema huonekana asubuhi.

Waasira akiwa Rais naihama Bongo, siwezi kuongozwa na Nyara ya Serikali.
 
Nafikiri hata mm naanza kuvutiwa na siasa safi za huyu Mzee wasira,anaweza saidia nchi,ccm msifanye makosa.....
 
Mh this country is full of mad people, I swear!The sad part is that,There is actually a big number of ignorant Tanzanians who will vote him into the presidency,As if they haven't learnt anything from Kikwete's blunder, So sad!!
 
10514604_1965575820250150_8551446801066477138_n.jpg

WANAWAKE WANAWEZA NA 2015 NI ZAMU YA RAIS MWANAMKE AJE KUTUONDOLEA UMASIKINI TANZANIA. PROF. ANNA TIBAIJUKA ANAFAA KUWA RAIS 2015
labda awe rais wa iptl na mabibo wine maana financer wake mkuu ni Rugemalila jambazi kuu katika kashfa ya dollar zaidi ya 200 millioni zilizoibiwa tegeta escow account
 
Mi nilidhani wanataka kutupatia rais hendsamu....sasa Wassira na uhendsamu wapi na wapi?

Asije akatisha watu bure huko UN!
 
Kimsingi awamu ijayo tunahitaji mtu mwenye uchungu na nchi hii. Mtu mwadilifu, mchapakazi, kauli yenye mamlaka na mzalendo kweli kweli.

Safari hii ikiwezekana tumpate mwanajeshi mmoja hasa aliyeendesha operation kimbunga, agombee kwa tiketi ya chama chetu, tumpigie kura za kishindo ili anyooshe nchi. Mtu wa namna hii hatokuwa na urafiki na mtu bali kazi.
 
Katika hali ya Shangwe na furaha leo baada ya upigaji kura kukamilika, Mwenyekiti wa Bunge la katiba aliwakaribisha wajumbe mbalimbali kwaajili ya kutoa shukrani na kuhitimisha, Ilipofika zamu ya Steven Wassira kundi la wabunge lilipuka kwa shangwe na nderemo kwa sauti "Rais, Rais ,Rais,!!!!!!!!"
Baadhi ya watu waliolisikia hilo wametoa maoni yao kuwa hiyo ni ishara njema ya kukubalika miongoni mwa wabunge hao, na ishara njema kwake.

Baada ya kupewa nafasi hiyo, Wassira alitililika kwa ufasaha, akionyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa, huku akishangiliwa kupita kiasi na bunge zima.
Katika maneno yake yaliyojaa Hekima na Busara,Wassira kaitendea haki hadhi aliyopewa hapo bungeni leo.

Wengine waliochangia vizuri na kwa utulivu ni Hamadi Rashidi, John Shibuda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mbunge wa Kishapu,Serukamba,Kingunge Ngombali Mwiru na wengine wengi.

Nyota njema huonekana asubuhi.

Ni mwenda wazimu tu anayeweza kukaa kitako juu ya bomu huku 'akivuta sigara na kushangilia kwa shangwe na nderemo'
 
Watu mnajua kweli kujisumbua. Kwani mpaka sasa bado mnapima upepo na huyu wasira wenu?!! Hamjapata tu majibu kuwa hakubaliki,hana ambalo kalifanya kwa hili taifa.
 
Back
Top Bottom