Katika hali ya Shangwe na furaha leo baada ya upigaji kura kukamilika, Mwenyekiti wa Bunge la katiba aliwakaribisha wajumbe mbalimbali kwaajili ya kutoa shukrani na kuhitimisha, Ilipofika zamu ya Steven Wassira kundi la wabunge lilipuka kwa shangwe na nderemo kwa sauti "Rais, Rais ,Rais,!!!!!!!!"
Baadhi ya watu waliolisikia hilo wametoa maoni yao kuwa hiyo ni ishara njema ya kukubalika miongoni mwa wabunge hao, na ishara njema kwake.
Baada ya kupewa nafasi hiyo, Wassira alitililika kwa ufasaha, akionyesha utulivu na ukomavu wa kisiasa, huku akishangiliwa kupita kiasi na bunge zima.
Katika maneno yake yaliyojaa Hekima na Busara,Wassira kaitendea haki hadhi aliyopewa hapo bungeni leo.
Wengine waliochangia vizuri na kwa utulivu ni Hamadi Rashidi, John Shibuda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mbunge wa Kishapu,Serukamba,Kingunge Ngombali Mwiru na wengine wengi.
Nyota njema huonekana asubuhi.