Wassira asema CHADEMA iliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni Sangara. Asisitiza Serikali 3 ni mwiko

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo.

Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani

Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga kuwaondolea umaskini wananchi wa Bunda Grits na Mwanza waliokuwa wanaongoza kwa ufukara nchini.

Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kwa nguvu zake zote.

Chanzo: TBC
 
Teh Teh Teh yani Wassira na Zitto badala wamponde Magufuli wanaanza kupondana na kuiponda chadema hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TBC bado ipo? Hao akina Wassira ndio wazee wanaosema katiba haihitajiki bali wananchi wanataka ugali! Hayo mazee ndio yanaogopa katiba mpya maana wana hofu na mabadiliko kwani wanahisi mabadiliko yatahatarisha ulaji wao na vizazi vyao. Mkwamo huu wa katiba ni kwa hao wazee ambao walikua jana yao, na sasa wanataka kula leo yetu.

Hao wazee ndio kasi ya mabadiliko iliyoletwa na CDM iliwashinda, hivyo wamebaki na nongwa hadi leo dhidi ya CDM. Hao ndio waasisi wa kauli ya kumtisha kila rais kuwa CCM itakufia mkono, na CDM ni chama cha vurugu.
 
Jibu hoja bwashee
 
Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo.

Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani

Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga kuwaondolea umaskini wananchi wa Bunda Grits na Mwanza waliokuwa wanaongoza kea ufukara nchini.

Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema.kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kea nguvu zake zote.

Source: TBC
Huyu Mzee yupo? Kuna muda alitoka CCM akaenda NCCR Mageuzi; akatimua akabakia kijiweni akaanza biashara ya Samaki Mza - Dar na lile ndege fastjet - baadaye akaonewa huruma na JK akarudi CCM akapewa Uwaziri.

Naona sasa njaa ishambamba tena, mama Samia kazi unayo !! haya mwingine huyo kama kina Kibanda muokoe hali ni mbaya mtaani.
 
Usimshambulie yeye binafsi
 
Usimshambulie yeye binafsi
Kuna wazee wa kuheshimu ndani ya CCM lakini siyo huyu njaa kali - Mzee kama Warioba nani anaweza kuthubutu kumshambulia; Mzee mwenye weredi na heshima kubwa kwa Taifa.

Hawa wazee wachumia tumbo ndiyo wanafanyaTaifa hili kuendelea kuwa na mambo ya HOVYO huku bado wako hai wakiyaona - kuna faida gani ya kuwa nao ? huyu ana tofauti kani na hawa comedians akina Mrema, Cheyo, Dr. Slaa, Lipumba etc... hasara tupu - sorry to say that ila ukweli utabakia ukweli.
 
Duh! Mzee Wasira bado yupo? Nakumbuka ile Hotuba ya Mh. Makongoro Nyerere…. hahahaha…. haichoshi kila nikiisikiliza nacheka tu mpaka machozi…. inaonekana kama utani lakini ni kweli kabisa.
 
kuna wazee wa kuheshimu ndani ya CCM lakini siyo huyu njaa kali - Mzee kama Warioba nani anaweza kuthubutu kumshambulia; Mzee mwenye weredi na heshima kubwa kwa Taifa.

Hawa wazee wachumia tumbo ndiyo wanafanyaTaifa hili kuendelea kuwa na mambo ya HOVYO huku bado wako hai wakiyaona - kuna faida gani sasa ya kuwa nao ? huyu ana tofauti kani na hawa comedians akina Mrema, Cheyo, Dr. Slaa, Lipumba etc... hasara tupu - sorry to say that ila ukweli utabakia ukweli.
Hivi Chadema kuna wazee kweli?
 
Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo.

Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani

Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga kuwaondolea umaskini wananchi wa Bunda Grits na Mwanza waliokuwa wanaongoza kwa ufukara nchini.

Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kwa nguvu zake zote.

Chanzo: TBC
Kwani kulea wajukuu napo kulishwa kuwa rahisi kiasi Cha kupata na Muda wa SII hasa🤔
 
Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kwa nguvu zake zote.

Chanzo: TBC
Hata humo CCM kama kuna watu wanataka muungano wa serikali 2 uendelee; hawawezi kuwa zaidi ya 5%.
 
Back
Top Bottom