johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo.
Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani
Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga kuwaondolea umaskini wananchi wa Bunda Grits na Mwanza waliokuwa wanaongoza kwa ufukara nchini.
Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kwa nguvu zake zote.
Chanzo: TBC