johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jibu hoja bwasheeTBC bado ipo? Hao akina Wassira ndio wazee wanaosema katiba haihitajiki bali wananchi wanataka ugali! Hayo mazee ndio yanaogopa katiba mpya maana wana hofu na mabadiliko kwani wanahisi mabadiliko yatahatarisha ulaji wao na vizazi vyao. Mkwamo huu wa katiba ni kwa hao wazee ambao walikua jana yao, na sasa wanataka kula leo yetu.
Hao wazee ndio kasi ya mabadiliko iliyoletwa na CDM iliwashinda, hivyo wamebaki na nongwa hadi leo dhidi ya CDM. Hao ndio waasisi wa kauli ya kumtisha kila rais kuwa CCM itakufia mkono, na CDM ni chama cha vurugu.
Huyu Mzee yupo? Kuna muda alitoka CCM akaenda NCCR Mageuzi; akatimua akabakia kijiweni akaanza biashara ya Samaki Mza - Dar na lile ndege fastjet - baadaye akaonewa huruma na JK akarudi CCM akapewa Uwaziri.Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo.
Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani
Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga kuwaondolea umaskini wananchi wa Bunda Grits na Mwanza waliokuwa wanaongoza kea ufukara nchini.
Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema.kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kea nguvu zake zote.
Source: TBC
Jibu hoja bwashee
Serikali 3 ni mwiko?Kulikuwa na swali la kujibiwa kwenye hoja yako?!
Usimshambulie yeye binafsiHuyu Mzee yupo? Kuna muda alitoka CCM akaenda NCCR Mageuzi; akatimua akabakia kijiweni akaanza biashara ya Samaki Mza - Dar na lile ndege fastjet - baadaye akaonewa huruma na JK akarudi CCM akapewa Uwaziri.
Naona sasa njaa ishambamba tena, mama Samia kazi unayo !! haya mwingine huyo kama kina Kibanda muokoe hali ni mbaya mtaani.
Hamna interview pale ndugu, ni njaa ya utosi mwanzo mwisho - mbaya zaidi inakula kuanzia vijana hadi wazee ndani ya CCM.Naona interview imejaa watetea matumbo wa hela za umma na msaliti.
Kuna wazee wa kuheshimu ndani ya CCM lakini siyo huyu njaa kali - Mzee kama Warioba nani anaweza kuthubutu kumshambulia; Mzee mwenye weredi na heshima kubwa kwa Taifa.Usimshambulie yeye binafsi
Hivi Chadema kuna wazee kweli?kuna wazee wa kuheshimu ndani ya CCM lakini siyo huyu njaa kali - Mzee kama Warioba nani anaweza kuthubutu kumshambulia; Mzee mwenye weredi na heshima kubwa kwa Taifa.
Hawa wazee wachumia tumbo ndiyo wanafanyaTaifa hili kuendelea kuwa na mambo ya HOVYO huku bado wako hai wakiyaona - kuna faida gani sasa ya kuwa nao ? huyu ana tofauti kani na hawa comedians akina Mrema, Cheyo, Dr. Slaa, Lipumba etc... hasara tupu - sorry to say that ila ukweli utabakia ukweli.
Wazee wa hovyo wamejaa CCM.Hivi Chadema kuna wazee kweli?
Marando yuko kimya sanawazee wa hovyo wamejaa CCM.
Akina Ponda!Wapo wenye akili timamu siyo hiyo mitakataka yenu toka hifadhi ya Gombe
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwani kulea wajukuu napo kulishwa kuwa rahisi kiasi Cha kupata na Muda wa SII hasa🤔Akihojiwa TBC kada wa CCM mzee Wassira amesema Chadema ndio waliasisi siasa za vurugu kupitia Operesheni sangara tena Zitto Kabwe akiwemo.
Chadema waliwaambia wananchi wa Kanda ya Ziwa wawazomee wanaovaa sare za kijani
Zitto Kabwe alimpinga vikali na kumwambia Operesheni Sangara ililenga kuwaondolea umaskini wananchi wa Bunda Grits na Mwanza waliokuwa wanaongoza kwa ufukara nchini.
Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kwa nguvu zake zote.
Chanzo: TBC
Ulishiriki Operesheni sangara?Kwani kulea wajukuu napo kulishwa kuwa rahisi kiasi Cha kupata na Muda wa SII hasa🤔
Hata humo CCM kama kuna watu wanataka muungano wa serikali 2 uendelee; hawawezi kuwa zaidi ya 5%.Pia mzee Wassira amesema kama lengo la Chadema kudai Katiba mpya ni kutaka serikali 3 basi hizo ni ndoto za mchana kwani CCM itapinga kwa nguvu zake zote.
Chanzo: TBC
2015 alitaka kuleta kiherehere kupinga ujio wa lowasa, ashukuru bado anapumua hadi leo. Asingewahi India angekuwa historia sasa hivi.Marando yuko kimya sana