Zamani kipindi cha chama kimoja kulikuwa na wabunge wawakilishi wa jumuiya zote za chama kuanzia wanawake,vijana na wazee pia kulikuwa na wabunge wanaowakilisha majeshi nk
Makinda ndiko alikopitia huko kupitia vijjana kama mbunge mwakilishi wa jumuiya ya vijana bungeni
Historia ziko vitabuni kasome utaratibu wa kupata wabunge enzi za chama kimoja haijalishi mtu kazaliwa 2000 au 3000