the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election'
"Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa Afrika hatuwezi kuamrishwa na kibaka hapo" - Stephen Wassira, makamu mwenyekiti CCM
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025