Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 763
- 680
Debe tupu hiloAkiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election'
"Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa Afrika hatuwezi kuamrishwa na kibaka hapo" - Stephen Wassira, makamu mwenyekiti CCM
View attachment 3218383