Pre GE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election'

"Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa Afrika hatuwezi kuamrishwa na kibaka hapo" - Stephen Wassira, makamu mwenyekiti CCM
Your browser is not able to display this video.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Ccm daima
 
Chama kikubwa kinachoiba uchaguzi.
 
Huyu Babu ataiponza CCM, asifikiri wana CCM wote ni mazezeta.
 
Uzee una matatizo!
Mtu ukishazeeka unakuwa kama mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…