Pre GE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Debe tupu hilo
 
Kumpa madaraka kikongwe kama huyu ni njia rahisi ya kummaliza, karibuni ataondoka jukwaani na kukimbizwa India ili arudi kwenye cargo
 
CCM wanafanya ukatili kwa wanyama, huyo kiumbe kumuondoa kwenye makazi yake ya asili kule hifadhi ya Gombe ni udhalilishaji sana. TSPCA tafadhalini rudisheni hii nyara kunakohusika
 
Walimteua huyu ili Chama kitrend na kama hapa mnamjadili.. Lengo lao limefanikiwaa....
 
"Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa Afrika hatuwezi kuamrishwa na kibaka hapo" - Stephen Wassira, makamu mwenyekiti CCM
Hii ndio akili aliyonayo huyu babu inachekesha sana...

Aliyempendekeza huyu babu awe makamu hana akili kama alivyo babu...

Angetulia tu acheze na wajukuu na sio kupigana vijembe na vijana kama kina Heche
 

View: https://www.youtube.com/live/H38TsLz4cTs?si=coBAExbVUJVdLaSJ
 
Hahaha, Tanzania politics zinashindana na USA in comedy department.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…