Wassira, Chikawe, Lukuvi kikaangoni kuhusu Katiba

Wassira, Chikawe, Lukuvi kikaangoni kuhusu Katiba

Upotoshaji wa vijana wa Bavicha unajulikana.
Nakumbuka kwa macho na masikio yangu Wassira alisema kama wapinzani wanayohoja waziwakilishe kwa Rais na waache tabia ya kukimbia mijadala bungeni, hapo ubaya uko wapi?

Lukuvi na Chikawe walisisitiza utaratibu wa kufuata kanuni na sheria na kwamba muswada umefuata taratibu zote na hauzuiliki kusainiwa.
Muswada umesainiwa, hapo ubaya uko wapi?

Marekebisho ni jambo la kawaida kwenye sheria hasa kulingana na wakati na mazingira.

Hata yaliyojadiliwa ikulu hayana tofauti na yaliyosemwa naLukivi,Chikawe na Wassira, hapo ndipo utashangaa Tundu Lisu na wenzake walikuwa wanapigania hoja gani ikiwa wamefika kwa Rais na kukubali mambo yote yaliyoko kwenye muswada na marekebisho yasiyozidi nusu paper.

Mkuu chuki, nakubaliana nao oja yako kuwa bavicha ni wapotoshaji, je vip kwa Mb. Filiponjombe na yeye ni Bavicha?
 
Upotoshaji wa vijana wa Bavicha unajulikana.
Nakumbuka kwa macho na masikio yangu Wassira alisema kama wapinzani wanayohoja waziwakilishe kwa Rais na waache tabia ya kukimbia mijadala bungeni, hapo ubaya uko wapi?

Lukuvi na Chikawe walisisitiza utaratibu wa kufuata kanuni na sheria na kwamba muswada umefuata taratibu zote na hauzuiliki kusainiwa.
Muswada umesainiwa, hapo ubaya uko wapi?

Marekebisho ni jambo la kawaida kwenye sheria hasa kulingana na wakati na mazingira.

Hata yaliyojadiliwa ikulu hayana tofauti na yaliyosemwa naLukivi,Chikawe na Wassira, hapo ndipo utashangaa Tundu Lisu na wenzake walikuwa wanapigania hoja gani ikiwa wamefika kwa Rais na kukubali mambo yote yaliyoko kwenye muswada na marekebisho yasiyozidi nusu paper.

Kwa taarifa za siri huyu mzee anausaka urais kwa udi na uvumba, kura alizopata nec zimemtia wazimu, hofu yake ikibadlika katiba kwa kiwango kikubwa nafasi kwake ni finyu.Huyu yuko radhi kuua
 
Z
SAFI SANA BROTHER Taifa kwanzavyama baadae
 
Mwamalanga alisema kuwa hatua hiyo ya kuwa na majadiliano ya pamoja imeonesha ujinga uliokuwa ukifanywa na baadhi ya watendaji ambao wamekuwa wakitoa kauli za kukejeli wapinzani.

“Huwezi kuwa na hatimiliki ya Ikulu, hili ni lazima mawaziri Lukuvi, Chikawe na Wassira wakatambua. Maana hatua ya Rais Kikwete kukutana na viongozi hao imewadhalilisha wao mawaziri,” alisema

Filikunjombe aliongeza kuwa katika hilo Kikwete ameonesha amedhamiria kwa dhati kuusimamia mchakato, hivyo aungwe mkono.

Akizungumzia kauli za kejeli za mawaziri, mbunge huyo machachali alisema hao wana akili mgando tu, yafaa wawaombe radhi Watanzania.

Nimezipenda sana comments za Mchungaji Mwamalanga na Filikunjombe(MB) Kwa kweli Wassira, Lukuvi na Chikawe wamepata aibu ya mwaka!
 
Wadau naomba msaada wenu, huwa sielewi jambo moja; eti tunajua kwamba muswaada huu wa sheria una makosa, halafu badala ya kurekebisha kabla ya kuwa sheria, tunasema, tia sahihi tu iwe sheria halafu tutarekebisha kwasababu utaratibu unaruhusu. Hii imekaaje? Ninavyojua sheria ikishahalalishwa, inaanza kutumika na hapo inalindwa na consistence, yaani haitazamiwi kubadilishwa ghafla moja kwasababu itawasumbua wanaoifuata. Sasa hili la kutia sahihi halafu kabla hata haijaanza kutumika tunarekebisha je si upotevu wa muda na raslimali? Naomba kuwasilisha
 
Huku kwetu tunakuita "kaka phill"kama ungegombea ubunge jimboni kwetu,nisingeangalia chama.yaani kura yangu kwako ningeomba niruhusiwe nichague na kalamu ya kuwekea vema.
 
Viongozi wa ccm wenye akili zao hata wa5 hawazidi cjui bungeni nani aliwapeleka na uwaziri wa zawadi
 
Rais awe mkali kwa wasira,lukuvi,chikawe na msomi wa kujisifu werema.

Tena waadhibiwe kwa kuliingizia taifa hasara maana gharama zilizotumika ni kodi za watanzania halafu mswada huo tena urudishwe bungeni kwa gharama zao.
 
Swali la msingi ni hili. Hawa wanamtumikia nani ??!!? Kama Rais anatumikia wananchi hawa wanatumikia nani zaidi ya wananchi na Rais ??!!??
 
Hoja nyepesi sana haya ninmanyago tu hakuna cha maana hata chembe.
 
Wasira anawapeleka puta kweli hata usingizi hampati kutwa kucha kumuota hapo mwigulu hajaanza mambo yake mbona mtapata shida sana mwaka huu.
 
Jiangalie kwanza wewe kabla ya kumtuhumu mtu upo sawa.

Yeye ndiye ajiangaliye kwanza anadiriki kutoa kashifa kwa upinzani kukutana na raisi kwa ajili ya katiba ya wananchi, kwanza naona hata kuku anadhamani maana nyama yake ni tamu labda ningemwambia kichwa chake ni sawa na .......malizia wewe nakuachia mtetezi wake (jaza kitu ambacho hakifai kabisa)
 
Wasira anawapeleka puta kweli hata usingizi hampati kutwa kucha kumuota hapo mwigulu hajaanza mambo yake mbona mtapata shida sana mwaka huu. You are myopic, that is very narrow minded person, huo ni ushabiki wa kifisadi tu. Kama kweli nh kijana mwenye akiri timamu huwezi kusapoti ujhnga unaofanywa na hawa watu kwenye issue ya mabadiliko ya katiba. CCM wengi wanafanya kazi kwa hofu ya waliowaweka, harafu huyo aliyewaweka anawachezesha kombolela na akili zao. Badala ya kufanya kazi wapendwe na wananchi wanafanya kumuridhisha aliyewateua.
 
Mi nadhani wanataka kuharibu mchakato ili bosi wao aaibike kwa kuwa alitekeleza sera ya CDM wakati wao hawakutaka.
 
Yeye ndiye ajiangaliye kwanza anadiriki kutoa kashifa kwa upinzani kukutana na raisi kwa ajili ya katiba ya wananchi, kwanza naona hata kuku anadhamani maana nyama yake ni tamu labda ningemwambia kichwa chake ni sawa na .......malizia wewe nakuachia mtetezi wake (jaza kitu ambacho hakifai kabisa)
Wapinzani huwa wana akili ndogo, hasa wa humu JF.
Kila mtu ana jiuliza kuwa kile mlichoelezwa Ikulu hakikuhitaji pawepo na kikao ili mueleweshwe.
Muswada umetiwa sahihi pamoja na majotro tele ya wapinzani.
Na muswada ukirudi bungeni haina maana unapitishwa kwa shinikizo la wapinzani, la hasha mjadala utakuwa pale pale.
Muswada ukirudi inabidi mabadiliko yake yajadiliwe, muafaka usipopatikana block voting itaendelea na mshindi ni dhahiri.

Mtu asiye na akili sawasawa kama huyu
Ndugu yangu ni vigumu sana kulielewa hilo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom