Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Upotoshaji wa vijana wa Bavicha unajulikana.
Nakumbuka kwa macho na masikio yangu Wassira alisema kama wapinzani wanayohoja waziwakilishe kwa Rais na waache tabia ya kukimbia mijadala bungeni, hapo ubaya uko wapi?
Lukuvi na Chikawe walisisitiza utaratibu wa kufuata kanuni na sheria na kwamba muswada umefuata taratibu zote na hauzuiliki kusainiwa.
Muswada umesainiwa, hapo ubaya uko wapi?
Marekebisho ni jambo la kawaida kwenye sheria hasa kulingana na wakati na mazingira.
Hata yaliyojadiliwa ikulu hayana tofauti na yaliyosemwa naLukivi,Chikawe na Wassira, hapo ndipo utashangaa Tundu Lisu na wenzake walikuwa wanapigania hoja gani ikiwa wamefika kwa Rais na kukubali mambo yote yaliyoko kwenye muswada na marekebisho yasiyozidi nusu paper.
Mkuu chuki, nakubaliana nao oja yako kuwa bavicha ni wapotoshaji, je vip kwa Mb. Filiponjombe na yeye ni Bavicha?