Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

johnthebaptist yaani una muda wa kuangalia TBC halafu unasikiliza wakimhoji Tyson,,kweli kabisa?
Wasira huyu huyu aliyeanza uongozi miaka ya sabini unategemea kitastoka kwake Cha kujifunza?
Anzisha mradi wa kukaanga kitimoto hapo Iringa.
Mjadala ulimjumuisha yeye na Zitto Kabwe 😀
 
Unalipwa kwa kutuoana wapinzani, Rais anakula nao meza moja.
Wewe ndiye unaonekana mjinga zaidi.
 
Zanzibar itakuwa sehemu ya bara hiari au kwa nguvu ni mda tu lakini lazima iwe nchi moja! Wakileta vita kama Tigray kule Ethiopia ñi kipigo kitakatifu hadi wasalimu amri! Mataifa hayaundwi kwa hiari angalia US zilipigwa na Southern States zikipigwa ndo Marekani ya leo unaioina leo taifa lenye nguvu sana duniani! Huwezi kuwa na watu milioni 2 eti unakomaa na watu milioni 59 wa bara! Ndo maana nasema kuwa nchi moja ni swala la mda tu
 
Watanganyika hawaitaki tanganyika yao...
Watanzania ambao wamezaliwa ndani ya Tanzania wanadai Tanganyika ambayo hawajaijua toka wakiwa tumboni mwa mama zao. Unadaije kitu ambacho hukujui wala hujawahi kukiona
 
Bora iwe moja lakini sio serikali mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…